Wazungu wanakwambia gender is a wide concept, there are no two gender (I hope na wewe unaamini ivyo) , most Europeans wanatumia tissue na wanashangaa watu wanaotumia maji kujitawaza (by your logic nawewe utabidi utushangae kwanini tunatumia maji) , wahispania wanaamini Jumanne ni siku ya mikosi, kuna haka kamsemo "En martes, ni te cases, ni te embarques, ni de tu casa te apartes" wanakwambia hakuna kuoa, kusafiri majini wala kuondoka nyumbani kwako siku ya jumanne (Wewe huoni kama ni ujima kuamini upuuzi kama huo).
?
Kila sehemu watu wanadesturi zao, watu washamba kama nyinyi ndo mnaona desturi za watu wengine ni bora zaidi, alafu mnavyojikutaga wasomi sasa mkianza kusifia wazungu, sisi tunawaangalia tunawaona wakuja sana wenetu