Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

SImba na Yanga zote za Kariakoo, je hapo Catalunya ndio Madrid ilipo mpaka uweke bango la kuwakera Madrid? Tumia akili ndogo tu ku reason vitu na zaid huo ni utani wa hizo timu 2 za Kkoo huwezi kuupata kwingine
 
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Maisha ya wazungu sio universal principle. Acha wazungu waishi kwa namna inayowapa furaha na sisi tuishi kwa namna inayotupa furaha
 
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Tatizo UNAZURURA! Hapo umakini haupo na kuna vingi hauvioni.
 
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Ile sio derby!
 
Kwani nyie simba mkishinda mbona hua mnapita mitaani na vigoma huo utaratibu spain pia upo? Na vile mna uchu wa kushinda siku mkishinda hayo makelele mtaani na boda boda yaani hakuna watu washamba wa ushindi kama mashabiki wa simba.
Washawapiga sita ,tano je mabango yaliwaweka wapi?
 
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
kwahiyo ulaya ndicho kielelezo chako? Waambie na wakina kapombe wavae vitambaa vinavyohamasisha ushoga kama wafanyavyo hao waume zako wazungu
 
Na hao Barcelona wamepokea vipigo vingi mfululizo kutoka Real Madrid katika el clasico,lakini hawajawahi kuwa na Slogan ya "Ubaya Ubwela " vs Real Madrid,hawana ushamba huo!
 
Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Tulieni dawa iwaingie
 
Halafu hujaona wazee wa madrid wakilalamikia laliga ujinga ni janga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom