kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hivyo je supu!Hazikufika tano wangefika wangeweka kakaaa
Ushamba wa tajiri!Huku kwetu bongo zozo
Sasa unadhani tabia na mienendo ya waTZ inafanana na waspain...! kila mtu na ustaarabu wake na haimaanishi ustaarabu wa wazungu ni bora kuliko wetu..Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
Wa wazungu ni bora kuliko wetu wa ushamba ni mzigo kule kufikiri tu kuweka bango ni upuuzi pili kuchemsha nyama za kuoza ni ulimbukeni nani bora hapo mzungu au wewe!Sasa unadhani tabia na mienendo ya waTZ inafanana na waspain...! kila mtu na ustaarabu wake na haimaanishi ustaarabu wa wazungu ni bora kuliko wetu..
Umeandika vitu vingi visivyo eleweka rudia tena nisome vizuri!Wewe jamaa kqma unawsema kweli basi sawa.ila kila nchi zina utamaduni wake yako mambo huko mitaa ya catalunya wanafanya sisi huku hatufanyi. mfano wanaweza kufanya mambo ya kijinsia hadharani mfano kubusisiana hadharani sisi huku kitendo hicho ni unyanyasaji wa kijinsia, hivyo basi mleta mada elewa kila nchi ina utamaduni wake, na kamwe siyo ushamba.
Kwani ni mbinguni!Upo Barcelona ya mwanza labda
Kweli,wenzetu washavuka level hzUshamba wa tajiri!
Alaa sio malimbukeni wanajua ni mchezo kesho zinaweza rudi upande wao kifupi siyo malimbukeni!Haikua khamsa ile
Kwa hiyo mabango ndio utamaduni wa kwenu hebu tueleze mkoa wenu na huko kukosa kwenu ufahamu wa neno utamaduni!Huko Spain wana sherehe ya kurushiana nyanya. Wewe unapasuliwa nyanya pia?
Majumbani mgeni wa heshima anapewa nyama ya chura huku tumchinjia kuku au mbuzi.
Kila sehemu na namna yao ya kufanya mambo tofauti na pengine. Tunasema tamaduni tofauti.
Na bado hamjasema. Tutawakera hadi mfe mamaye.Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!