Jk was the best president of modern Tanzania ever got .........huwezi kumlinganisha na JPM au BMKwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK.
Rais kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake alipoishika wizara ya fedha juu ya Kigoma Malima aliyekuwa mtangulizi wake, na wakati huo alikuwa hapendwi kabisa!
Tatizo ikawa ni aina ya uongozi wa Kikwete. Ilitegemea urafiki, mahusiano yasiyo na mipaka na hata ngono ilionekana ni mtaji. Ni wakati ambapo nafasi za wakuu wa Wilaya ziligeuka ni nafasi za mafunzo, bila kujali umuhimu wa nafasi hiyo ktk jamii.
Wanachama wakaona kumbe U-rais ni nafasi ya kuchezea tu! Akapigiwa simu za kupewa heri ya 'Birth day*, naye akaitika akisikika nchi nzima. Akataniwa na kucheka, n.k. Baada ya hapo watu waliingia kwa makumi kuomba nafasi ya Urais.
Leo hii rais anaonekana akicheza taarabu, anaalikwa na wachekeshaji, anashikwa bega akiombewa kanisani. Kama ni hivyo, hata Ubunge imekuwa ni nafasi ya kila mtu. Mwaka huu wameomba kwa ubora wao wanaoujua, na wanagomba na kusema ni haki yao, ni wanachama. Mmoja hajui hata kazi ya Mbunge, kasema atakuwa chawa wa Serikali, na mwaziri.
Nafasi za uongozi zimepoteza hadhi yake. Ieleweke kwamba, Unapokuwa mwanachama wa chama cha siasa, haina maana kwamba unastahili kugombea uongozi wowote ktk chama au Taifa. Kila mtu ajipime nafasi anayoiweza. Ni aibu kama bunge litakuwa ni sehemu ya wachekeshaji, a.k.a wasanii. Nchi inayojigamba sasa ina vision 2050, yenye Ai ndani yake.
Watanzania wengine bwana.Kwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK.

Nchi ilishuka sana thamani hasa wakati wake ndiyo Unga(yaani madawa ya kulevya) yalishamiriKwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK.
Rais kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake alipoishika wizara ya fedha juu ya Kigoma Malima aliyekuwa mtangulizi wake, na wakati huo alikuwa hapendwi kabisa!
Tatizo ikawa ni aina ya uongozi wa Kikwete. Ilitegemea urafiki, mahusiano yasiyo na mipaka na hata ngono ilionekana ni mtaji. Ni wakati ambapo nafasi za wakuu wa Wilaya ziligeuka ni nafasi za mafunzo, bila kujali umuhimu wa nafasi hiyo ktk jamii.
Wanachama wakaona kumbe U-rais ni nafasi ya kuchezea tu! Akapigiwa simu za kupewa heri ya 'Birth day*, naye akaitika akisikika nchi nzima. Akataniwa na kucheka, n.k. Baada ya hapo watu waliingia kwa makumi kuomba nafasi ya Urais.
Leo hii rais anaonekana akicheza taarabu, anaalikwa na wachekeshaji, anashikwa bega akiombewa kanisani. Kama ni hivyo, hata Ubunge imekuwa ni nafasi ya kila mtu. Mwaka huu wameomba kwa ubora wao wanaoujua, na wanagomba na kusema ni haki yao, ni wanachama. Mmoja hajui hata kazi ya Mbunge, kasema atakuwa chawa wa Serikali, na mwaziri.
Nafasi za uongozi zimepoteza hadhi yake. Ieleweke kwamba, Unapokuwa mwanachama wa chama cha siasa, haina maana kwamba unastahili kugombea uongozi wowote ktk chama au Taifa. Kila mtu ajipime nafasi anayoiweza. Ni aibu kama bunge litakuwa ni sehemu ya wachekeshaji, a.k.a wasanii. Nchi inayojigamba sasa ina vision 2050, yenye Ai ndani yake.
Tukio la Kikwete kupigiwa simu na kupewa Happy Birthday na watangazaji wa Clouds FM nalikumbuka. Yawezekana ni uelewa wetu au culture yetu, lakini halikustahili na aliyepigiwa alistahili kutokubali jambo hilo. Najua siyo rahisi kwa rais kupigiwa kama hajaulizwa na kukubali.Watanzania wengine bwana.
Hata wakiwa sawa wanakosea kwa nini wako sawa.
Ni kweli Kikwete uongozi wake ulikuwa na udhaifu mwingi sana.
Lakini.
Rais kuitikia happy birthday au kucheza taarab si matatizo.
Na wananchi wengi kujitokeza kuwania urais si tatizo, ni sehemu ya demokrasia.
Tatizo lenu Watanzania wengi, mnamfanya rais kama Mungu. Nyie wenyewe.Tukio la Kikwete kupigiwa simu na kupewa Happy Birthday na watangazaji wa Clouds FM nalikumbuka. Yawezekana ni uelewa wetu au culture yetu, lakini halikustahili na aliyepigiwa alistahili kutokubali jambo hilo. Najua siyo rahisi kwa rais kupigiwa kama hajaulizwa na kukubali.
Nasema hivyo kwa sababu waliopiga wenyewe, walionesha wazi kwamba wako kwenye utani na rais. Rais (president) akaitwa 'Presdaa' (shame!). Ilikuwa ni kutoheshimu nafasi ya urais kwa mazungumzo na watu walioonesha uhuni wa mitaani. Tukumbuke Taifa zima linasikia. Je ni culture yetu? Au ni vizuri kufanya kama Amerika? 'Happy Birthday Mr President -Marlyn Monroe.
Hilo la taarabu nalo tusilitetee. Nini sababu ya kutuonesha rais anacheza Taarabu? Yaani naye anajua kutikisa kiuno? Hii ni Taarabu ya 2000s; Kanga moko, n.k. Mtu asiniambie eti naye ni binadamu bhla-bhla! Huyu ni rais ana majukumu muhimu aliyoomba kwa kupenda kwake, tunampa privileges zote kwa ahadi ya kutumikia majukumu. Kama anatamani kucheza Taarabu kama akina Hadija Kopa, aondoke tusiingie gharama za ulinzi kwa furaha zake.
Bado unampongeza Kikwete!Tatizo lenu Watanzania wengi, mnamfanya rais kama Mungu. Nyie wenyewe.
Halafu rais akikubali kuwa yeye ni Mungu akautumia u Mungu wake kuwapatiliza anavyotaka, kukataza mikutano ya siasa iliyokubalika kikatiba, mnalalamika huyu rais ana mkono wa chuma anajifanya yeye Mungu.
Wakati nyie wenyewe ndo mmeanza kumfanya rais kama Mungu.
Rais akikubali kuitwa Prezdaa ni sawa tu.
Kama hutaki, usimchague.
Inawezekana tulihitaji kumu humanize rais, alionekana kama jidubwana fulani li Juliasi Nyerere Kaizari limeshuka kutoka mbinguni wakati ni mtoto wa Msoga tu kuna watu wana story zake za Saigoni na kwa Macheni huwezi kuamini.
Huyo mwingine ni bidada wa Kizimkazi tu kajiongeza ongeza kaungaunga mambo na kwa bahati kawa rais. Unataka kumkataza asicheze taarab ya kwao kwa raha zake sababu ni rais?
Mbona hata Salim Ahmed Salim, world diplomat, Nyerere's favorite, alicheza taarab ya kwao?
Tena alisifiwa sana kwamba, Salim Ahmed Salim, licha ya kutembea dunia nzima na almanusura awe Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa kama si ubaradhuli wa vwto ya Wamarekani, lakini bado anapenda muziki wa taarab wa kwao Zanzibar.
Mwanasiasa anatakiwa kuwa sociable. Anatakiwa ku connect na watu. Kikwete alielewa somo hili ndiyo maana wakati nyie snobs mnamuona anaharibu, watu wa kawaida walimpenda wakamuona approachable. Samia watu wake wanaona huyu rais anacheza taarab kama sisi, hana makuu.
Nyie mnamuona huyu rais anaharibu standards kwa kucheza taarab, watu w amtaani wanamuona huyu ni mwenzetu anacheza kama sisi.
Si rais anayesikiliza movements na Sonatas za Mozart na Beethoven.
Watanzania kwa mara nyingine tena mnajua sana kukuza mambo trivial wakati mambo muhinu mnayaacha.
Kipindi cha Kikwete kuna kiongozi wa upinzani alimuita Rais hamnazo na hadi itachapishwa magazetini na hakufanywa chochote. Jaribu leo halafu utoe mrejesho.Kwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK.
Rais Kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake alipoishika wizara ya fedha juu ya Kigoma Malima aliyekuwa mtangulizi wake, na wakati huo alikuwa hapendwi kabisa!
Tatizo ikawa ni aina ya uongozi wa Kikwete. Ilitegemea urafiki, mahusiano yasiyo na mipaka na hata ngono ilionekana ni mtaji. Ni wakati ambapo nafasi za wakuu wa Wilaya ziligeuka ni nafasi za mafunzo, bila kujali umuhimu wa nafasi hiyo ktk jamii.
Wanachama wakaona kumbe U-rais ni nafasi ya kuchezea tu! Akapigiwa simu za kupewa heri ya 'Birth day*, naye akaitika akisikika nchi nzima. Akataniwa na kucheka, n.k. Baada ya hapo watu waliingia kwa makumi kuomba nafasi ya Urais.
Leo hii rais anaonekana akicheza taarabu, anaalikwa na wachekeshaji, anashikwa bega akiombewa kanisani. Kama ni hivyo, hata Ubunge imekuwa ni nafasi ya kila mtu. Mwaka huu wameomba kwa ubora wao wanaoujua, na wanagomba na kusema ni haki yao, ni wanachama. Mmoja hajui hata kazi ya Mbunge, kasema atakuwa chawa wa Serikali, na mwaziri.
Nafasi za uongozi zimepoteza hadhi yake. Ieleweke kwamba, Unapokuwa mwanachama wa chama cha siasa, haina maana kwamba unastahili kugombea uongozi wowote ktk chama au Taifa. Kila mtu ajipime nafasi anayoiweza. Ni aibu kama bunge litakuwa ni sehemu ya wachekeshaji, a.k.a wasanii. Nchi inayojigamba sasa ina vision 2050, yenye Ai ndani yake.
Tatizo letu watanzania ....... we raia wa wapi mkuu!Tatizo lenu Watanzania wengi, mnamfanya rais kama Mungu. Nyie wenyewe.
Halafu rais akikubali kuwa yeye ni Mungu akautumia u Mungu wake kuwapatiliza anavyotaka, kukataza mikutano ya siasa iliyokubalika kikatiba, mnalalamika huyu rais ana mkono wa chuma anajifanya yeye Mungu.
Wakati nyie wenyewe ndo mmeanza kumfanya rais kama Mungu.
Rais akikubali kuitwa Prezdaa ni sawa tu.
Kama hutaki, usimchague.
Inawezekana tulihitaji kumu humanize rais, alionekana kama jidubwana fulani li Juliasi Nyerere Kaizari limeshuka kutoka mbinguni wakati ni mtoto wa Msoga tu kuna watu wana story zake za Saigoni na kwa Macheni huwezi kuamini.
Huyo mwingine ni bidada wa Kizimkazi tu kajiongeza ongeza kaungaunga mambo na kwa bahati kawa rais. Unataka kumkataza asicheze taarab ya kwao kwa raha zake sababu ni rais?
Mbona hata Salim Ahmed Salim, world diplomat, Nyerere's favorite, alicheza taarab ya kwao?
Tena alisifiwa sana kwamba, Salim Ahmed Salim, licha ya kutembea dunia nzima na almanusura awe Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa kama si ubaradhuli wa vwto ya Wamarekani, lakini bado anapenda muziki wa taarab wa kwao Zanzibar.
Mwanasiasa anatakiwa kuwa sociable. Anatakiwa ku connect na watu. Kikwete alielewa somo hili ndiyo maana wakati nyie snobs mnamuona anaharibu, watu wa kawaida walimpenda wakamuona approachable. Samia watu wake wanaona huyu rais anacheza taarab kama sisi, hana makuu.
Nyie mnamuona huyu rais anaharibu standards kwa kucheza taarab, watu w amtaani wanamuona huyu ni mwenzetu anacheza kama sisi.
Si rais anayesikiliza movements na Sonatas za Mozart na Beethoven.
Watanzania kwa mara nyingine tena mnajua sana kukuza mambo trivial wakati mambo muhinu mnayaacha.
Kama humtaki rais mkatae kwenye kura au mfanyie motion ya impeachment.Bado unampongeza Kikwete!
Hapana! Awe ni rais au chifu wa tawla zetu za kineyeji, bado kuna viwango vya matendo na maneno anayostahili kuzungumza kwa kiwango cha nafasi yake. Baadhi ya watu kumfurahia akicheza taarabu au 'kujichanganya' siyo kibali cha kwamba wapiga kura wanataka hilo. Tukidekeza hilo, tutamuona mitaani akiwapongeza changudoa.
Tunapomchangua rais kuna vigezo vya wazi tunavitumia. Kuna vigezo haviotajwi na havionekani, lakini hatutegemei kuona rais akivifanya. Hatuwezi kuandika au kutangaza kwamba rais asiwe mlevi, asiwe changudoa, asiwe mwizi, nk. Lakini hatutegemei mchujo wa kumpata rais uruhusu mwenye sifa hizo awe rais.
Tukianza kupongezana kwa sifa zake za nyumbani eti anafaa, anajichanganya, n.k., iko siku tutamkuta kalaa bar akibebwa na wapiga kura.
Mwinyi aliachana na mgogoro wa mgomo na madaktari wa Muhimbili, akaenda Uwanja wa Taifa kuangalia mziki wa Kanda Bongoman. Hiyo ndo unapongeza? Itakuwa ni nchi ya hovyo tu inayoweza kupongeza mtu wa aina hiyo.
Mimi raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania.Tatizo letu watanzania ....... we raia wa wapi mkuu!
Hizi hadithi za viongozi kucheza tunazifahamu sana! lakini yapo mazingira yake. Hata UN nimeona UNESCO ilipotambua Mziki wa Regae balozi wa Jamaica alicheza. Wimbo waki-spanish, Macarena ulichezwa na akina Madeleine Albright. Wote hao walicheza kama sehemu ya kutaniana na kutukuza kidogo na kuendelea na kazi zao.
Tunaomba usitushawishi kukubali rais anayeondoka Ikulu kuelekea kwenye mziki wa dansi au taarabu eti ni haki yake. Akitaka hayo aondoke kwenye ofisi yetu. Tukimuona anafanya ufuska, ulevi, kutikisa kiuna, nk. mbele ya TV, tutasema.
Nani huyo aliyetumia neno hamnazo? Usitunge maneno yasiyokuwepo.Kipindi cha Kikwete kuna kiongozi wa upinzani alimuita Rais hamnazo na hadi itachapishwa magazetini na hakufanywa chochote. Jaribu leo halafu utoe mrejesho.
Naona raia wa Marekani huelewi.Mimi raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania.
Kumbe unaelewa kuwa utamaduni wa muziki unaeleweka na kukubalika mpaka UN na UNESCO.
Rais akichwza muziji wa kwao wewe tatizo lako nini?
Aliyeharibu hii nchi si Kikwete ni Magufuli. Wapinzani walianza kutekwa na kupotea kipindi gani ? Upendeleo wa watu wa aina fulani ulianza na Rais yupi ? (Magufuli na Kanda ya ziwa kama Mama na Visiwani ) . Teuzi za kupewa ndugu wa karibu katika baraza la mawaziri zilianza lini ? (MAGU NA Dotto Biteko{binamu} akaja mama na Mchengerwa {mkwe} na Wanu{binti} ameshachukua form ya kugombea ubunge Zanzibar.). Kikwete anajiharibia sasa hivi kwa kumkumbatia huyu mama lakini uongozi wake ulikuwa bomba sana. Wahandishi wa habari walikuwa na uhuru wa kufichua ufisadi nje nje. Magu ndiye Rais wa kwanza kupitisha miradi bila bunge kujadili. (Mf Miradi yote ya Chato uwanja wa ndege, chuo cha veta, hospitali na miradi wa NHC). Hii imewarahisishia marais wanaofuata maana wakitaka kuhamisha hela rahisi kwao. Namaliza kwa kusema as long as you are alive your legacy might change. Kikwete anaiharibu legacy yake sasa hivi.Nani huyo aliyetumia neno hamnazo? Usitunge maneno yasiyokuwepo.
Mnyika, Mbunge akiwa bungeni aliwahi kusema Kikwete ni dhaifu. Je, hukumbuki alivyoanza kufuatiliwa hadi Slaa akiwa Katibu wa CHADEMA akalazimika kuliweka wazi na kuitangazia TZ kwamba Mnyika anawindwa kwa maneno aliyosema Bungeni?
Mbali na hayo, hilo ndo tunasema hapa. Sioni ajabu baada ya yeye kufanikiwa kuwa rais, wengine wote hata wa ubora wa chini wanafuta na kuamini wanaweza. Rais unashikwa bega kuombewa mafanikio uwanjani!
Kumbe mkuu Kiranga unatambua uwepo wa Mungu na unazitambua nguvu zake!!Tatizo lenu Watanzania wengi, mnamfanya rais kama Mungu. Nyie wenyewe.
Halafu rais akikubali kuwa yeye ni Mungu akautumia u Mungu wake kuwapatiliza anavyotaka, kukataza mikutano ya siasa iliyokubalika kikatiba, mnalalamika huyu rais ana mkono wa chuma anajifanya yeye Mungu.
Wakati nyie wenyewe ndo mmeanza kumfanya rais kama Mungu.
Rais akikubali kuitwa Prezdaa ni sawa tu.
Kama hutaki, usimchague.
Inawezekana tulihitaji kumu humanize rais, alionekana kama jidubwana fulani li Juliasi Nyerere Kaizari limeshuka kutoka mbinguni wakati ni mtoto wa Msoga tu kuna watu wana story zake za Saigoni na kwa Macheni huwezi kuamini.
Huyo mwingine ni bidada wa Kizimkazi tu kajiongeza ongeza kaungaunga mambo na kwa bahati kawa rais. Unataka kumkataza asicheze taarab ya kwao kwa raha zake sababu ni rais?
Mbona hata Salim Ahmed Salim, world diplomat, Nyerere's favorite, alicheza taarab ya kwao?
Tena alisifiwa sana kwamba, Salim Ahmed Salim, licha ya kutembea dunia nzima na almanusura awe Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa kama si ubaradhuli wa vwto ya Wamarekani, lakini bado anapenda muziki wa taarab wa kwao Zanzibar.
Mwanasiasa anatakiwa kuwa sociable. Anatakiwa ku connect na watu. Kikwete alielewa somo hili ndiyo maana wakati nyie snobs mnamuona anaharibu, watu wa kawaida walimpenda wakamuona approachable. Samia watu wake wanaona huyu rais anacheza taarab kama sisi, hana makuu.
Nyie mnamuona huyu rais anaharibu standards kwa kucheza taarab, watu w amtaani wanamuona huyu ni mwenzetu anacheza kama sisi.
Si rais anayesikiliza movements na Sonatas za Mozart na Beethoven.
Watanzania kwa mara nyingine tena mnajua sana kukuza mambo trivial wakati mambo muhinu mnayaacha.
Hakuna anayemkataa rais kwa sababu ya Taarabu. Tunasema aache mchezo huo. Hakuchaguliwa kuonesha utamaduni wa kwao.Kama humtaki rais mkatae kwenye kura au mfanyie motion ya impeachment.
Rais ambaye kazoea kucheza taarab muziki wa kwao kumkataza kucheza taarab kwa sababu ni rais ni kumuonea na kushindwa kuelewa nini kitu cha muhimu.
Taarab ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania sehemu za Pwani, au huelewi hilo?
Unataka rais aache utamaduni wa kwao kwa sababu ni rais?
Dr Ulimboka alitekwa utawala wa nani?Aliyeharibu hij nchi si Kikwete ni Magufuli. Wapinzani walianza kutekwa na kupotea kipindi gani ? Upendeleo wa watu wa aina fulani ulianza na Rais yupi ? (Magufuli na Kanda ya ziwa kama Mama na Visiwani ) . Teuzi za kupewa ndugu wa karibu katika baraza la mawaziri zilianza lini ? (MAGU NA Dotto Biteko{binamu} akaja mama na Mchengerwa {mkwe} na Wanu{binti} ameshachukua form ya kugombea ubunge Zanzibar.). Kikwete anajiharibia sasa hivi kwa kumkumbatia huyu mama lakini uongozi wake ulikuwa bomba sana. Wahandishi wa habari walikuwa na uhuru wa kufichua ufisadi nje nje. Magu ndiye Rais wa kwanza kupitisha miradi bila bunge kujadili. (Mf Miradi yote ya Chato uwanja wa ndege, chuo cha veta, hospitali na miradi wa NHC). Hii imewarahisishia marais wanaofuata maana wakitaka kuhamisha hela rahisi kwao. Namaliza kwa kusema as long as you are alive your legacy might change. Kikwete anaiharibu legacy yake sasa hivi.