Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

Diamond kaanza kuimba muda mrefu Sana aina hizi za nyimbo hata hizi nyimbo alizotoa katengeneza miaka 3 nyuma sema alikuwa amefocus na soko la nje Sana ndio maana nyimbo aina hizo alikuwa hazireleese baada ya Huu mwaka kuanza kusema kupitia insta Mwaka Huu nataka niwape kazi nzuri Sana mwaka Jana nilifocus na music wa biashara baada ya hiyo kauli siku Moja mbele ndio akaachia "Yatapita" kuna nyimbo za mafundisho "je utanipenda" n.k
 
Kwa hiyo hizo hela YouTube wanazopata hizi online video wanawatumia wakuna nani?

Wakina Millard Ayo,Simulizi na Sauti,Diamond nk hela wanapewaje na YouTube wakati hawa julikani.
 
Kwa hiyo hizo hela YouTube wanazopata hizi online video wanawatumia wakuna nani?

Wakina Millard Ayo,Simulizi na Sauti,Diamond nk hela wanapewaje na YouTube wakati hawa julikani.
Wadanganyika daima wanatetea udanganyika- wakishaaminishwa Udanganyifu awataki sikia kingine. Youtube wenyewe ndo wametoa hizi takwimu bado wewe Mchimba Chumvi utaki amini! Unawaamini wanaokuongopeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna Mwaka mmoja Vijana wanaofanya mtihani wa F4 Katika Shule moja maharufu Morogoro mjini. Jana yake usiku kabla ya mtihani asubuhi walionyeshwa mtihani fake wakaufanya na wakasaidiana majibu- asbh kufika chumba cha mtihani wakakuta ile fake yao ni kweli fake- Mtihani ulio mbele yao ni original akuna ata Swali moja toka kwenye paper walioifanya usiku chimbo- wakaamua kugoma kufanya mtihani wakidai ule wao waliouona jana ndio wenyewe huu wanaogawiwa na msimamizi wa chumba cha mtihani ni fakeπŸ˜‚ mmoja wa aliekuwa katika chumba cha mtihani siku ile ni Waziri wa Serikali mpaka leo hii tena ni wa wizara kubwa na nyeti. So Watanzania tunahitaji maombi tubadilike kushabikia na kuamini kila tunaloambiwa bila kuwa wadadisi na kuhakiki
 
Uko sahihi..Hizo mambo ni za Konde boy na Kiba huyu pia zaman akiwa anatoka ndio alikua akiimba hizi ..akaja akakengeuka
 
Mbona YouTube wanatoa takwimu za kila mwezi za kila nchi ,maana ww unasema hawawatambui sasa hizo takwimu wanazitolea wapi kama hawa wafahamu?

Hawa akina Millard Ayo, SnS ,Misago wanalipwaje na Youtube, wakati lwa mujibu wako ww hao hawa tambuliki.

HEBU NIELEKEZE WEWE UNAUEJUA.
 
 
Sasa hizo takwim zako unaweka picha huweki link.Niwekee link nione kama kweli source ni YouTube.

Nimekuuliza maswali simple tu maana mimi nawajua watu wengi wanaolipwa na YouTube, sasa nimekuuliza YouTube wanawalipa vipi?
 
Angalia hizo picha ipo moja ina link - nenda kwenye hiyo link jihakikishie
 
Hii nyimbo ilikuja baada ya Wote, Konde kaimba kistaarab no matus kateka hisia za watu nae akaja na hii.
 
Duu brother Nitarejea,Mbagala,Je Utanipenda............ Mbona Mondi alianza zamani sana.

Sema aliswitch alivyoanza kuimba Number 1 hapo Mondi akabdilika kabisa, hizi za kulialia ndio uwanja wale wanyumbani.....
Alichange baada kuchagua kufanya biashara
 
Na hii ndo maana halisi ya ushindani. Alikua kashabweteka,madogo wamemshtua
 
Hii nyimbo ilikuja baada ya Wote, Konde kaimba kistaarab no matus kateka hisia za watu nae akaja na hii.
True mkuu hata leave me alone ilienda bila matusi na jay melody akaonesha soko linakula hata nyimbo clean.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…