Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

Hilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida

Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile

Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽
Diamond kaanza kuimba muda mrefu Sana aina hizi za nyimbo hata hizi nyimbo alizotoa katengeneza miaka 3 nyuma sema alikuwa amefocus na soko la nje Sana ndio maana nyimbo aina hizo alikuwa hazireleese baada ya Huu mwaka kuanza kusema kupitia insta Mwaka Huu nataka niwape kazi nzuri Sana mwaka Jana nilifocus na music wa biashara baada ya hiyo kauli siku Moja mbele ndio akaachia "Yatapita" kuna nyimbo za mafundisho "je utanipenda" n.k
 
Viewers Naisi hawa Dabliu See wanapika Hii mambo. Wanatuahaminisha wa Tanzania kuwa wanaingiza Mkwanja mkubwa kutoka Yutubu wakati huko Yutubu awamjui Mtanzania yeyote yule anaetoka Tandale angalia hapa kisha utafakali toka hizi picha nilizoweka kwenye hii Nyuzi
Kwa hiyo hizo hela YouTube wanazopata hizi online video wanawatumia wakuna nani?

Wakina Millard Ayo,Simulizi na Sauti,Diamond nk hela wanapewaje na YouTube wakati hawa julikani.
 
Wadanganyika daima wanatetea udanganyika- wakishaaminishwa Udanganyifu awataki sikia kingine. Youtube wenyewe ndo wametoa hizi takwimu bado wewe Mchimba Chumvi utaki amini! Unawaamini wanaokuongopea😂😂😂 Kuna Mwaka mmoja Vijana wanaofanya mtihani wa F4 Katika Shule moja maharufu Morogoro mjini. Jana yake usiku kabla ya mtihani asubuhi walionyeshwa mtihani fake wakaufanya na wakasaidiana majibu- asbh kufika chumba cha mtihani wakakuta ile fake yao ni kweli fake- Mtihani ulio mbele yao ni original akuna ata Swali moja toka kwenye paper walioifanya usiku chimbo- wakaamua kugoma kufanya mtihani wakidai ule wao waliouona jana ndio wenyewe huu wanaogawiwa na msimamizi wa chumba cha mtihani ni fake😂 mmoja wa aliekuwa katika chumba cha mtihani siku ile ni Waziri wa Serikali mpaka leo hii tena ni wa wizara kubwa na nyeti. So Watanzania tunahitaji maombi tubadilike kushabikia na kuamini kila tunaloambiwa bila kuwa wadadisi na kuhakiki
 
Hilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida

Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile

Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽
Uko sahihi..Hizo mambo ni za Konde boy na Kiba huyu pia zaman akiwa anatoka ndio alikua akiimba hizi ..akaja akakengeuka
 
Wadanganyika daima wanatetea udanganyika- wakishaaminishwa Udanganyifu awataki sikia kingine. Youtube wenyewe ndo wametoa hizi takwimu bado wewe Mchimba Chumvi utaki amini! Unawaamini wanaokuongopea😂😂😂 Kuna Mwaka mmoja Vijana wanaofanya mtihani wa F4 Katika Shule moja maharufu Morogoro mjini. Jana yake usiku kabla ya mtihani asubuhi walionyeshwa mtihani fake wakaufanya na wakasaidiana majibu- asbh kufika chumba cha mtihani wakakuta ile fake yao ni kweli fake- Mtihani ulio mbele yao ni original akuna ata Swali moja toka kwenye paper walioifanya usiku chimbo- wakaamua kugoma kufanya mtihani wakidai ule wao waliouona jana ndio wenyewe huu wanaogawiwa na msimamizi wa chumba cha mtihani ni fake😂 mmoja wa aliekuwa katika chumba cha mtihani siku ile ni Waziri wa Serikali mpaka leo hii tena ni wa wizara kubwa na nyeti. So Watanzania tunahitaji maombi tubadilike kushabikia na kuamini kila tunaloambiwa bila kuwa wadadisi na kuhakiki
Mbona YouTube wanatoa takwimu za kila mwezi za kila nchi ,maana ww unasema hawawatambui sasa hizo takwimu wanazitolea wapi kama hawa wafahamu?

Hawa akina Millard Ayo, SnS ,Misago wanalipwaje na Youtube, wakati lwa mujibu wako ww hao hawa tambuliki.

HEBU NIELEKEZE WEWE UNAUEJUA.
 
01032DF7-575A-48C4-815A-B34CD7763B8F.png
8F814C72-00FF-457D-826C-CC98AC16C2A0.png
866547B3-146F-48A6-8E27-AB3E394322E2.jpeg
 
Sasa hizo takwim zako unaweka picha huweki link.Niwekee link nione kama kweli source ni YouTube.

Nimekuuliza maswali simple tu maana mimi nawajua watu wengi wanaolipwa na YouTube, sasa nimekuuliza YouTube wanawalipa vipi?
 
Sasa YouTube wanawalipa kwa kutumia kitu gani wakati ww unasema hawa wafahamu?
Angalia hizo picha ipo moja ina link - nenda kwenye hiyo link jihakikishie
 
Hilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida

Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile

Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽
Hii nyimbo ilikuja baada ya Wote, Konde kaimba kistaarab no matus kateka hisia za watu nae akaja na hii.
 
Duu brother Nitarejea,Mbagala,Je Utanipenda............ Mbona Mondi alianza zamani sana.

Sema aliswitch alivyoanza kuimba Number 1 hapo Mondi akabdilika kabisa, hizi za kulialia ndio uwanja wale wanyumbani.....
Alichange baada kuchagua kufanya biashara
 
Hilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida

Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile

Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽
Na hii ndo maana halisi ya ushindani. Alikua kashabweteka,madogo wamemshtua
 
Hii nyimbo ilikuja baada ya Wote, Konde kaimba kistaarab no matus kateka hisia za watu nae akaja na hii.
True mkuu hata leave me alone ilienda bila matusi na jay melody akaonesha soko linakula hata nyimbo clean.
 
Back
Top Bottom