Diamond kaanza kuimba muda mrefu Sana aina hizi za nyimbo hata hizi nyimbo alizotoa katengeneza miaka 3 nyuma sema alikuwa amefocus na soko la nje Sana ndio maana nyimbo aina hizo alikuwa hazireleese baada ya Huu mwaka kuanza kusema kupitia insta Mwaka Huu nataka niwape kazi nzuri Sana mwaka Jana nilifocus na music wa biashara baada ya hiyo kauli siku Moja mbele ndio akaachia "Yatapita" kuna nyimbo za mafundisho "je utanipenda" n.kHilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida
Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile
Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽