Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

Wadanganyika daima wanatetea udanganyika- wakishaaminishwa Udanganyifu awataki sikia kingine. Youtube wenyewe ndo wametoa hizi takwimu bado wewe Mchimba Chumvi utaki amini! Unawaamini wanaokuongopea[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna Mwaka mmoja Vijana wanaofanya mtihani wa F4 Katika Shule moja maharufu Morogoro mjini. Jana yake usiku kabla ya mtihani asubuhi walionyeshwa mtihani fake wakaufanya na wakasaidiana majibu- asbh kufika chumba cha mtihani wakakuta ile fake yao ni kweli fake- Mtihani ulio mbele yao ni original akuna ata Swali moja toka kwenye paper walioifanya usiku chimbo- wakaamua kugoma kufanya mtihani wakidai ule wao waliouona jana ndio wenyewe huu wanaogawiwa na msimamizi wa chumba cha mtihani ni fake[emoji23] mmoja wa aliekuwa katika chumba cha mtihani siku ile ni Waziri wa Serikali mpaka leo hii tena ni wa wizara kubwa na nyeti. So Watanzania tunahitaji maombi tubadilike kushabikia na kuamini kila tunaloambiwa bila kuwa wadadisi na kuhakiki
Una shida aisee. Wamesema top earners in africa sio watumiaji wote. Na ni mambo yote sio wasanii tu. Changamsha ubongo acha kukurupuka
 
Diamond kaanza kuimba muda mrefu Sana aina hizi za nyimbo hata hizi nyimbo alizotoa katengeneza miaka 3 nyuma sema alikuwa amefocus na soko la nje Sana ndio maana nyimbo aina hizo alikuwa hazireleese baada ya Huu mwaka kuanza kusema kupitia insta Mwaka Huu nataka niwape kazi nzuri Sana mwaka Jana nilifocus na music wa biashara baada ya hiyo kauli siku Moja mbele ndio akaachia "Yatapita" kuna nyimbo za mafundisho "je utanipenda" n.k
Diamond kuanza kuimba hizo nyimbo ni kawaida kwa sababu ndio bongo flava ya kipindi kile Ila baada ya kupata mafanikio makubwa baada ya collabo na davido, diamond ndio alianza focus na biashara zaidi kuliko taste ya muziki. Wimbo hata usiwe mzuri sana , atapiga kiki, video kali na promo na muziki ukaenda.
Hata WCB imejengwa hivyo hivyo

Hizo zingine unazosema ni mbinu za kimasoko ndio maana utaona kila kitu kimeenda na timing. All in all tuinjoi muziki mzuri
 
Duu brother Nitarejea,Mbagala,Je Utanipenda............ Mbona Mondi alianza zamani sana.

Sema aliswitch alivyoanza kuimba Number 1 hapo Mondi akabdilika kabisa, hizi za kulialia ndio uwanja wale wa nyumbani.....
Nilikuwa naongelea kwa kipindi cha sasa brother kwa sababu hata context ya mada ni kwa jinsi alivyoswitch ladha. Mleta mada alivyoileta ni kama diamond ndio kaanza na mimi nimemuonesha tu kuwa kuna nyimbo nyingi tu clean watu wameimba na zimefanikiwa kipindi ambacho diamond anaimba hizi commercials.
Kwa hiyo yeye apongezwe kwa kuswitch Ila wasiweke kama yeye ndio anabadili muelekeo wa game while watu kama kiba, konde na jay melody walikuwa wanatoa hits zenye muelekeo huo tayari📌
 
Tatizo labda huenda jamaa hasoma maada nzima, ni kweli wasanii wanaofanya aina hii ya mziki wapo lakini ni wachache, hawana majina makubwa na wana airtime ndogo. wasanii wenye majina makubwa ndio huwa na impact kubwa ila wengi wao wanachoimba kwa sasa ni mapenzi ya chumbani.

Diamond alichofanya ni kusoma huu uwanja kaamua kutumia jina lake kubwa kufanya mziki ambao mastaa wenzake wameufumbia macho,

Hit song kubwa mwaka uliopita ni nakupenda ya jay melody

Sikiliza nyimbo za konde kama leave me alone

Sikiliza album nzima ya kiba na mega hit kama utu

Uliiskiza hit song ya nandy - siwezi

Sikiliza nyimbo za marioo nyingi tu ni clean kama for you na mi Amor na zote ni mega hits

Kwa hiyo hawa wasanii wote ni wadogo na wana airtime ndogo na wamefumbia macho kitu wanachokifanya tayari.
I wish tufikie level za grammy, BET, MTV au billboards ambapo msanii anapewa anachostahili bila kuangalia fan base kuliko bongo na teams zetu
 
Nilikuwa naongelea kwa kipindi cha sasa brother kwa sababu hata context ya mada ni kwa jinsi alivyoswitch ladha. Mleta mada alivyoileta ni kama diamond ndio kaanza na mimi nimemuonesha tu kuwa kuna nyimbo nyingi tu clean watu wameimba na zimefanikiwa kipindi ambacho diamond anaimba hizi commercials.
Kwa hiyo yeye apongezwe kwa kuswitch Ila wasiweke kama yeye ndio anabadili muelekeo wa game while watu kama kiba, konde na jay melody walikuwa wanatoa hits zenye muelekeo huo tayari📌
Yote tisa Mondi ndiye anaye set trend kwenye vitu vyingi, hivi kipindi Harmo anaimba hizi za kulialia nani ulimsikia anaimba type hizo. Ila mimi nakupa miezi mitatu then subiria nyimbo zitakazo achiwa na wasanii wengine.

Kiba ni msanii ambayo si anayebadilika kwani unaweza kupredict ataimba style ipi ya mziki labda Harmo ngumu kumtabiri ila Kiba anatabirika kabisa.

Najua utarefer amapiano ila kwa bongo Mario ndiye wa kwanza kutoa nyimbo ya Amapiano na ikahits na ana nyimbo 3 za Amapiano zote hit, baada ya Mama Amina ndipo zikaanza kufumuka.
 
Kwa new generation, marioo ndio standard maana wakati anatoa nyimbo kama inatosha, hakuna aliyekuwa anaamini kama hizo slow bongoz zinaweza kuhit na mwishowe upcoming wengi wakarudi huko. Hata wimbo wa Raha, ukisikiliza mahazi ya kizamani mixer kisasa ndio unapata zingine kama za rudi darasani ya aslay hadi huyu hapa ya mbosso. Nasikitika tu marioo kaanza kupoteza hiyo nguvu yake kwa kuwa commercial zaidi

Mwingine ni Baddest, sio fan wake Ila jamaa ana influence sana kwa new generation, anachoimba ndio kinatrend

Kwa wasanii waliopita of course diamond ni standard na vijana wengi wanamuangalia, naamini hata akitaka kuipeleka singeli international anaweza maana impact ya "nasema nawe" Ilidhihirisha hilo na hicho ndicho diamond kashindwa kukifanikisha. Kuwa na identity ya muziki kama mb dog, Mr nice, saida, Cpwaa, THT artists kiujumla etc

I wish awe na hiyo legacy kimuziki maana kuwa tu influencial commercially kupitia u copy cat wa genre za nje mara nyingi rekodi haidumu kama kuacha your own sound.
 
Kukopi genre za nje kama zipi na ngapi au ile Asake kwenye nyimbo moja ya Mbosso? Brother wasanii wengi wanakopi ila Mondi anaoneka anakopi sana sababu yy ni mkubwa, ila ukitizama inakuzwa sana.

Halafu cha ajabu huyo anaye ambiwa anakopi genre za watu ndiye anayefanya vizuri kulio hao wengine. Mondi ktk nchi za Sahara zaidi ya 90% kishapiga show ila ulaya ndipo anastrugle.
 
Viewers Naisi hawa Dabliu See wanapika Hii mambo. Wanatuahaminisha wa Tanzania kuwa wanaingiza Mkwanja mkubwa kutoka Yutubu wakati huko Yutubu awamjui Mtanzania yeyote yule anaetoka Tandale angalia hapa kisha utafakali toka hizi picha nilizoweka kwenye hii Nyuzi
View attachment 2506054View attachment 2506055View attachment 2506057View attachment 2506058View attachment 2506059View attachment 2506060View attachment 2506061View attachment 2506062
Ni wasanii wangapi A-list wa Africa waliopo hapo.
 
Kwa hiyo hizo hela YouTube wanazopata hizi online video wanawatumia wakuna nani?

Wakina Millard Ayo,Simulizi na Sauti,Diamond nk hela wanapewaje na YouTube wakati hawa julikani.
Ku-argue na hater usitegemee kufikia muafaka, kuna content creators wengi wanasafiri kila mara around the world na YouTube acc zao ni ndogo sana, wanajenga mijengo ya maana lakini hata 25% ya views anazopata Diamond hawafikii.
 
Attachments

  • ADEA12CD-E959-42A7-86E8-07BB2B43E01B.png
    ADEA12CD-E959-42A7-86E8-07BB2B43E01B.png
    252.1 KB · Views: 3
Hilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida

Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile

Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽
Konde anajiimbia mwenyewe
 
Exactly, Nasib anaplay part kubwa sana kwenye utayarishaji wa video zake- nilipata dodoso hii kwa mtu wangu wa karibu(Director fulani wa bongo)

Ni kawaida hii kama una kipaji cha ubunifu lazima utataka uelekeo wa kazi zako vile unavyopanga.
 
Viewers Naisi hawa Dabliu See wanapika Hii mambo. Wanatuahaminisha wa Tanzania kuwa wanaingiza Mkwanja mkubwa kutoka Yutubu wakati huko Yutubu awamjui Mtanzania yeyote yule anaetoka Tandale angalia hapa kisha utafakali toka hizi picha nilizoweka kwenye hii Nyuzi
View attachment 2506054View attachment 2506055View attachment 2506057View attachment 2506058View attachment 2506059View attachment 2506060View attachment 2506061View attachment 2506062

Mkuu umepost yote hayo ku prove nini?

Kwamba wasanii wa usafini hawalipwi according na views?
 
Back
Top Bottom