Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kabisaa mkuu wasimpe sifa ambazo si zakeUko sahihi..Hizo mambo ni za Konde boy na Kiba huyu pia zaman akiwa anatoka ndio alikua akiimba hizi ..akaja akakengeuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa mkuu wasimpe sifa ambazo si zakeUko sahihi..Hizo mambo ni za Konde boy na Kiba huyu pia zaman akiwa anatoka ndio alikua akiimba hizi ..akaja akakengeuka
Una shida aisee. Wamesema top earners in africa sio watumiaji wote. Na ni mambo yote sio wasanii tu. Changamsha ubongo acha kukurupukaWadanganyika daima wanatetea udanganyika- wakishaaminishwa Udanganyifu awataki sikia kingine. Youtube wenyewe ndo wametoa hizi takwimu bado wewe Mchimba Chumvi utaki amini! Unawaamini wanaokuongopea[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna Mwaka mmoja Vijana wanaofanya mtihani wa F4 Katika Shule moja maharufu Morogoro mjini. Jana yake usiku kabla ya mtihani asubuhi walionyeshwa mtihani fake wakaufanya na wakasaidiana majibu- asbh kufika chumba cha mtihani wakakuta ile fake yao ni kweli fake- Mtihani ulio mbele yao ni original akuna ata Swali moja toka kwenye paper walioifanya usiku chimbo- wakaamua kugoma kufanya mtihani wakidai ule wao waliouona jana ndio wenyewe huu wanaogawiwa na msimamizi wa chumba cha mtihani ni fake[emoji23] mmoja wa aliekuwa katika chumba cha mtihani siku ile ni Waziri wa Serikali mpaka leo hii tena ni wa wizara kubwa na nyeti. So Watanzania tunahitaji maombi tubadilike kushabikia na kuamini kila tunaloambiwa bila kuwa wadadisi na kuhakiki
Diamond kuanza kuimba hizo nyimbo ni kawaida kwa sababu ndio bongo flava ya kipindi kile Ila baada ya kupata mafanikio makubwa baada ya collabo na davido, diamond ndio alianza focus na biashara zaidi kuliko taste ya muziki. Wimbo hata usiwe mzuri sana , atapiga kiki, video kali na promo na muziki ukaenda.Diamond kaanza kuimba muda mrefu Sana aina hizi za nyimbo hata hizi nyimbo alizotoa katengeneza miaka 3 nyuma sema alikuwa amefocus na soko la nje Sana ndio maana nyimbo aina hizo alikuwa hazireleese baada ya Huu mwaka kuanza kusema kupitia insta Mwaka Huu nataka niwape kazi nzuri Sana mwaka Jana nilifocus na music wa biashara baada ya hiyo kauli siku Moja mbele ndio akaachia "Yatapita" kuna nyimbo za mafundisho "je utanipenda" n.k
Nilikuwa naongelea kwa kipindi cha sasa brother kwa sababu hata context ya mada ni kwa jinsi alivyoswitch ladha. Mleta mada alivyoileta ni kama diamond ndio kaanza na mimi nimemuonesha tu kuwa kuna nyimbo nyingi tu clean watu wameimba na zimefanikiwa kipindi ambacho diamond anaimba hizi commercials.Duu brother Nitarejea,Mbagala,Je Utanipenda............ Mbona Mondi alianza zamani sana.
Sema aliswitch alivyoanza kuimba Number 1 hapo Mondi akabdilika kabisa, hizi za kulialia ndio uwanja wale wa nyumbani.....
Tatizo labda huenda jamaa hasoma maada nzima, ni kweli wasanii wanaofanya aina hii ya mziki wapo lakini ni wachache, hawana majina makubwa na wana airtime ndogo. wasanii wenye majina makubwa ndio huwa na impact kubwa ila wengi wao wanachoimba kwa sasa ni mapenzi ya chumbani.
Diamond alichofanya ni kusoma huu uwanja kaamua kutumia jina lake kubwa kufanya mziki ambao mastaa wenzake wameufumbia macho,
Yote tisa Mondi ndiye anaye set trend kwenye vitu vyingi, hivi kipindi Harmo anaimba hizi za kulialia nani ulimsikia anaimba type hizo. Ila mimi nakupa miezi mitatu then subiria nyimbo zitakazo achiwa na wasanii wengine.Nilikuwa naongelea kwa kipindi cha sasa brother kwa sababu hata context ya mada ni kwa jinsi alivyoswitch ladha. Mleta mada alivyoileta ni kama diamond ndio kaanza na mimi nimemuonesha tu kuwa kuna nyimbo nyingi tu clean watu wameimba na zimefanikiwa kipindi ambacho diamond anaimba hizi commercials.
Kwa hiyo yeye apongezwe kwa kuswitch Ila wasiweke kama yeye ndio anabadili muelekeo wa game while watu kama kiba, konde na jay melody walikuwa wanatoa hits zenye muelekeo huo tayari📌
Kwa new generation, marioo ndio standard maana wakati anatoa nyimbo kama inatosha, hakuna aliyekuwa anaamini kama hizo slow bongoz zinaweza kuhit na mwishowe upcoming wengi wakarudi huko. Hata wimbo wa Raha, ukisikiliza mahazi ya kizamani mixer kisasa ndio unapata zingine kama za rudi darasani ya aslay hadi huyu hapa ya mbosso. Nasikitika tu marioo kaanza kupoteza hiyo nguvu yake kwa kuwa commercial zaidiYote tisa Mondi ndiye anaye set trend kwenye vitu vyingi, hivi kipindi Harmo anaimba hizi za kulialia nani ulimsikia anaimba type hizo. Ila mimi nakupa miezi mitatu then subiria nyimbo zitakazo achiwa na wasanii wengine.
Kiba ni msanii ambayo si anayebadilika kwani unaweza kupredict ataimba style ipi ya mziki labda Harmo ngumu kumtabiri ila Kiba anatabirika kabisa.
Najua utarefer amapiano ila kwa bongo Mario ndiye wa kwanza kutoa nyimbo ya Amapiano na ikahits na ana nyimbo 3 za Amapiano zote hit, baada ya Mama Amina ndipo zikaanza kufumuka.
Kukopi genre za nje kama zipi na ngapi au ile Asake kwenye nyimbo moja ya Mbosso? Brother wasanii wengi wanakopi ila Mondi anaoneka anakopi sana sababu yy ni mkubwa, ila ukitizama inakuzwa sana.Kwa new generation, marioo ndio standard maana wakati anatoa nyimbo kama inatosha, hakuna aliyekuwa anaamini kama hizo slow bongoz zinaweza kuhit na mwishowe upcoming wengi wakarudi huko. Hata wimbo wa Raha, ukisikiliza mahazi ya kizamani mixer kisasa ndio unapata zingine kama za rudi darasani ya aslay hadi huyu hapa ya mbosso. Nasikitika tu marioo kaanza kupoteza hiyo nguvu yake kwa kuwa commercial zaidi
Mwingine ni Baddest, sio fan wake Ila jamaa ana influence sana kwa new generation, anachoimba ndio kinatrend
Kwa wasanii waliopita of course diamond ni standard na vijana wengi wanamuangalia, naamini hata akitaka kuipeleka singeli international anaweza maana impact ya "nasema nawe" Ilidhihirisha hilo na hicho ndicho diamond kashindwa kukifanikisha. Kuwa na identity ya muziki kama mb dog, Mr nice, saida, Cpwaa, THT artists kiujumla etc
I wish awe na hiyo legacy kimuziki maana kuwa tu influencial commercially kupitia u copy cat wa genre za nje mara nyingi rekodi haidumu kama kuacha your own sound.
Ni wasanii wangapi A-list wa Africa waliopo hapo.Viewers Naisi hawa Dabliu See wanapika Hii mambo. Wanatuahaminisha wa Tanzania kuwa wanaingiza Mkwanja mkubwa kutoka Yutubu wakati huko Yutubu awamjui Mtanzania yeyote yule anaetoka Tandale angalia hapa kisha utafakali toka hizi picha nilizoweka kwenye hii Nyuzi
View attachment 2506054View attachment 2506055View attachment 2506057View attachment 2506058View attachment 2506059View attachment 2506060View attachment 2506061View attachment 2506062
Ku-argue na hater usitegemee kufikia muafaka, kuna content creators wengi wanasafiri kila mara around the world na YouTube acc zao ni ndogo sana, wanajenga mijengo ya maana lakini hata 25% ya views anazopata Diamond hawafikii.Kwa hiyo hizo hela YouTube wanazopata hizi online video wanawatumia wakuna nani?
Wakina Millard Ayo,Simulizi na Sauti,Diamond nk hela wanapewaje na YouTube wakati hawa julikani.
Ni wasanii wangapi A-list wa Africa waliopo hapo.
Konde anajiimbia mwenyeweHilo la kuimba vitu relevant kwa mtaa nadhani mpeni maua yake konde na nadhani diamond kasoma mchezo kaona kabisa jamaa kuwa street king ni kwa sababu anaimba nyimbo zinazogusa watu wa kawaida
Kingine Hata ukiangalia hit song kubwa ya mwaka uliopita, nakupenda ya jay melody haikuwa na matusi, ipo clean na nyimbo za kiba vile vile
Kwa hiyo mpeni maua yake kwa kuamua kuswitch ladha ya muziki wake Ila sio kwamba yeye ndiye kabadili gear ya industry kwa sababu kuna artist wamefanya poa bila kili wala matusi 🙏🏽
Sifa zipi sio zake?🤔Kabisaa mkuu wasimpe sifa ambazo si zake
Exactly, Nasib anaplay part kubwa sana kwenye utayarishaji wa video zake- nilipata dodoso hii kwa mtu wangu wa karibu(Director fulani wa bongo)
Viewers Naisi hawa Dabliu See wanapika Hii mambo. Wanatuahaminisha wa Tanzania kuwa wanaingiza Mkwanja mkubwa kutoka Yutubu wakati huko Yutubu awamjui Mtanzania yeyote yule anaetoka Tandale angalia hapa kisha utafakali toka hizi picha nilizoweka kwenye hii Nyuzi
View attachment 2506054View attachment 2506055View attachment 2506057View attachment 2506058View attachment 2506059View attachment 2506060View attachment 2506061View attachment 2506062