Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Haya mambo yanamfanya mtu akuwe, awe na weledi kunamambo kama hujapitia wewe bado ni mtoto hata kama una miaka 70.
Sahii kabisa mkuu,
Kuishi na mchepuko wangu uyu napata kuenjoy, na kujifunza mengi sana.

That's why simuachi na nakua inspired kuandika maisha yangu na yeye[emoji4]

Hopefully,
Ntakua na mengi ya kuwasimulia wajukuu zangu hapo baadae mola akiniweka hai [emoji4]
 
Agegedwe mwingine sisi tujichoshe kusoma story
 
Ndogo bro...bora hata nyumbani hiyo sio kwa mchepuko, kukuibia ni halali kabisa
Anakazi niliyomtafutia anayolipwa 250,000 kila mwezi, SIMUULIZI ANATUMIAJE

Kazin anapewa posho ya elfu 10 ya kula kila siku. SIMUULIZI ANATUMIAJE

Mafuta kwendea+kurud KAZIni kwake namjazia Mwnyw kila wiki.

Bado namuachia elfu 10 ya meza kila siku, bado nyngn ndogo ndogo za hapa na pale tukitoka out au mahitaj mengn madg madh?

Yaan Bado TU hapo huoni nambeba Sana uyu mwenzio[emoji848]
 
oooh darling you are soo sweet 😁😁
mpuuzi huyo asikusumbue sana inbobo ua namba kwa ushauri murua zaidi ya huu
 
[emoji23][emoji23]kaka angu katika ubora wake!
Nachokusifu tu ,unatunza bwanaaa,mwanamke hajuti!
Kwakweli[emoji119][emoji119]
 
Duh,kuna watu wana bahati jmn!
Kwakweli km ana akili inatosha kabisa
Umembeba kwakweli, ni yeye tu
 
Hamuishi vituko wewe na wifi wa JF! nasubiri bomu lilipuke
 
Tunaomba mrejesho kaka mkubwa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…