Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Yaani ukifika kwenye point hii ndio unajiuliza pia wakati yule Mwanamke anapewa tunda na Shetani pale bustanini inamaana Mungu alikua hamuoni au ulikua mtego pia?Imagine Mungu mjuzi wa yote na mwenye uweza wote nikweli alikuwa hamuoni Adamu alipokuwa amejificha? jibu alikuwa anamuona ila ni mtego tu .
Yaani hapo ukiingia deep lazima ujiulize maswali mengi sana inamaana yote Mungu alikua anasubiri yatokee kwanza kisha aje kuwasambaratisha? Maana Mungu ni muweza wa yote sasa alishindwaje kumzuia Shetani asimpe Mwanamke tunda pale bustanini kwanini Mungu hakuzuia jambo hilo lisitokee? Inamaana Mungu aliweka mtego makusudi kisha akasubiri wanase?Adamu upo wapi? 😃😃
Huyu Mwanamke.."
Jamaa hakujibu swali
huwez ukajibu, nikiulizwa uko wapi, najibu kuna nini kwani mbona maswali mengi, utasikia aah nilitaka kujua tuAdamu upo wapi? 😃😃
Huyu Mwanamke.."
Jamaa hakujibu swali
Kah! kwani wao walishindwaje kutii alichowaambia?Yaani hapo ukiingia deep lazima ujiulize maswali mengi sana inamaana yote Mungu alikua anasubiri yatokee kwanza kisha aje kuwasambaratisha? Maana Mungu ni muweza wa yote sasa alishindwaje kumzuia Shetani asimpe Mwanamke tunda pale bustanini kwanini Mungu akuzuia jambo hilo lisitokee? Inamaana Mungu aliweka mtego makusudi kisha akasubiri wanase?
Alitaka ajue tu kama ataitikia na dudu njenjeOngezea na hili.
Kwani Sir God alikuwa hamuoni adamu mpka amuulize upo wapi?
Angemtokea tu kama Mussa alivyotokewa tatizo liko wapiAlitaka ajue tu kama ataitikia na dudu njenje
Kah! kwani wao walishindwaje kutii alichowaambia?
Huwa nafikri Mungu alitegemea kudaganywa na adamuMtego kivip wakati inadaiwa anajua kila kitu🤔
Tatizo hakuna,sababu nishatoa....Angemtokea tu kama Mussa alivyotokewa tatizo liko wapi
HAHAHAA
Hizo ni hadithi za kitoto mno .Huwa nafikri Mungu alitegemea kudaganywa na adamu
uwezo walikuwa nao, kwani sasa hivi shetani sio moto? uwezo ulikuwa ndani yao ila waliamua kumsikiliza ambaye hakuwaweka pale wala kuwapa maagizo yoyote, yaani ni sawa na dada wa kazi anayeshawishiwa na jirani aache kazi kwa Boss wake aliyemtoa kijijiniWasingeweza kutii walichoagizwa, maana waliletewa shetani awajaribu.
Na kipindi hicho shetani alikuwa moto sana wasingeweza kuzuia moto wake.