Kwahiyo ulitaka awalazimishe kutii kile alichowakataza? katika maisha yako unayoishi mtoto asiyekutii utataka aendelee kukaa kwako? je wewe ndiye utakuwa umesababisha kuto tii kwake? Mungu amewakataza msifanye hivi bado wakafanya kwa kisingizio cha kudanganywa wakat walikuwa na uwezo wa kukataa, meambiwa usizini, usiue, usiibe, wewe ukashawishika kuiba ukakutana na wananchi wenye hasira kali unaanza kumlaumu Mungu? umefumaniwa na mke wa Mtu ukaliwa kiboga unamlaumu Mungu kwanini hakuzuia usiliwe kiboga ili hali wewe ndiye uliyekosea?