Tangu mwaka umeanza nimeishi kama anavyotaka Prof. Janabi, leo asubuhi nimeanguka kwa njaa

Tangu mwaka umeanza nimeishi kama anavyotaka Prof. Janabi, leo asubuhi nimeanguka kwa njaa

Medecin

Platinum Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,836
Reaction score
24,344
Habari za leo wakuu

Mimi ni kijana wa makamo, wakati fulani nilikuwa nikimsikiliza sana Prof. Mohamed Janabi kuhusu ulaji na mtindo Bora wa maisha, awali nilikuwa nakula kutwa mara tatu sana sana vyakula vya mafuta na sukari nyingi ikiwemo ngano na ugali lakini baada ya kusikiliza ushauri wa huyu daktari bingwa nikabadili mtindo wangu wa ulaji, ikawa nikiamka asubuhi nakunywa maji tu then naenda kwenye shughuli zangu, mchana nakula ugali kidogo na mboga za majani na mtindi, jioni nakula matunda na mtindi tena, ratiba hii hubadilika lakini sitoki nje ya vyakula vya aina hiyo.

Wakuu leo asubuhi nimeamka vizuri kwenda kwenye shughuli zangu, kufika mahali fulani nikaanza kujihisi kizunguzungu nikakaa chini huku jasho linanitoka, njaa nayo ikawa inanikomoa kwelikweli utumbo wote unakata. Nikajikongoja mpaka hospitali fulani kupimwa naambiwa sukari imeshuka kutokana na ulaji duni nikashauriwa niache ubahili nile vya kutosha. Kwa sasa sijambo nipo nyumbani navuta nguvu wife kaniandalia supu ya kuku wa kienyeji, juice ya matunda kaniwekea sukari nyingi pamoja kachori, baadae ataniandalia chapati na mishikaki ya nundu.

Prof Janabi nakuita mara tatu
Sijapenda ulitaka kunitoa roho kwa ushauri wako wa hovyo.
 
Habari za leo wakuu

Mimi ni kijana wa makamo, wakati fulani nilikuwa nikimsikiliza sana Prof. Mohamed Janabi kuhusu ulaji na mtindo Bora wa maisha, awali nilikuwa nakula kutwa mara tatu sana sana vya kula vya mafuta na sukari nyingi ikiwemo ngano na ugali lakini baada ya kusikiliza ushauri wa huyu daktari bingwq nikabadili mtindo wangu wa ulaji, ikawa nikiamka asubuhi nakunywa maji tu then naenda kwenye shughuli zangu, mchana nakula ugali kidogo na mboga za majani na mtindo, jioni nakula matunda na mtindo tena, ratiba hii hubadilika lakini sitoki nje ya vya kula vya aina hiyo.

Wakuu leo asubuhi nimeamka vizuri kwenda kwenye shughuli zangu, kufika mahali fulani nikaanza kujisikia kizunguzungu nikakaa chini huku jasho linanitoka, njaa nayo ikawa inanikomoa kwelikweli utumbo wote unakata. Nikajikongoja mpaka hospitali fulani kupimwa naambiwa sukari imeshuka kutokana na ulaji duni nikashauriwa niache ubahili nile vya kutosha. Kwa sasa sijambo nipo nyumbani navuta nguvu wife kaniandalia supu ya kuku wa kienyeji, juice ya matunda kaniwekea sukari nyingi pamoja kachori, baadae ataniandalia chapati na mishikaki ya nundu.

Prof Janabi nakuita mara tatu
Sijapenda ulitaka kunitoa roho kwa ushauri wako wa hovyo.
Aliyekufundisha jana ame report rasmi WHO wewe mfuasi wake upo sijui wapi huko unaanguka kwa njaa.
Unakuwa kama wafuasi wa Gwajima bana?
 
Nimesoma kichwa cha uzi tu nimejukuta nakuchekabkwa sauti.
Lengo lako hasa lilikuwa ni kuzuia kufa au nini labda. Wewe kula mzee kikubwa fanya mazoezi. Kunywa vinywaji yenye Tangawizi na karafuu sijui Mdalasini na vingine vingine.
Janabi yeye ana lengo lake ambalo labda ni tofauti na lako
 
Back
Top Bottom