The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Mkuu upo sahihi kabisa .Nimesoma kichwa cha uzi tu nimejukuta nakuchekabkwa sauti.
Lengo lako hasa lilikuwa ni kuzuia kufa au nini labda. Wewe kula mzee kikubwa fanya mazoezi. Kunywa vinywaji yenye Tangawizi na karafuu sijui Mdalasini na vingine vingine.
Janabi yeye ana lengo lake ambalo labda ni tofauti na lako
Janabi Na mapesa yote Yale jamaa bado kakondeana