The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Mkuu upo sahihi kabisa .Nimesoma kichwa cha uzi tu nimejukuta nakuchekabkwa sauti.
Lengo lako hasa lilikuwa ni kuzuia kufa au nini labda. Wewe kula mzee kikubwa fanya mazoezi. Kunywa vinywaji yenye Tangawizi na karafuu sijui Mdalasini na vingine vingine.
Janabi yeye ana lengo lake ambalo labda ni tofauti na lako
Pole kwa yalitokupata, Chapati hailetei nguvu kweli mwili labda ule matunda.chapati
Mmmh, mama una roho mbaya!🤣🤣🤣🤣 ukome
Mimi hata huwa sikazingatii hako kazee! Kanataka hats sisi washika jembe tusile tukashiba! Bure kabisa!Dr. Janabi anakosea sana kutoa ushauri wa jumla katika jambo ambalo watu wanatakiwa kupimwa na kushauriwa kwa mujibu wa hali zao