Tangu nianze kuishi na demu ghetto nimeacha Nyeto

Ushauri wangu Cha kwanza piga nyeto vinacyofuata kula mbususu, shemeji hatakusaliti....
 
Kwanini usex na mwanamke Ambae si mkeo?. Fanya mapenzi na mkeo Ambae tayri ni mwili mmoja... Unapo mpa manii Yako tayari huyo mkeo ndio wewe.
mpaka sasa una watoto wangapi? kama kweli unatupa ndani!
 
Mkuu nyeto inamadhara makubwa sana kimwili na kiroho.. ni kitu ambacho hujui tu. Acha mara Moja. Hayo manii uyoyamwaga njee ndio uanaume wako, ndio utajiri wako acha nyeto mkuu watakupoteza kina dronedrake na genge lake
Tuambie madhala matano. Ya kimwili
 
Umeondoa tatizo moja unaleta jingine...
 
Tuambie madhala matano. Ya kimwili
Haya ni baadhi matano ya kiroho.

Madhara ya punyeto kiroho yanaweza kutazamwa kutoka katika muktadha wa imani za kidini na mafundisho ya kiroho. Ingawa tafsiri za madhara haya zinategemea dhehebu na imani ya mtu binafsi, hapa ni baadhi ya madhara yanayoweza kutajwa:

1. Kujihisi na hatia na aibu

Dini nyingi, hasa Ukristo na Uislamu, zinafundisha kuwa punyeto ni tendo lisilofaa. Hii inaweza kusababisha mtu kujihisi na hatia, aibu, au kuwa mbali na imani yake.


2. Kukosa mawasiliano mazuri na Mungu

Watu wengi wa kiroho wanaamini kuwa punyeto inaweza kupunguza hamu ya kusali, kutafakari Neno la Mungu, au kushiriki katika shughuli za kiroho.


3. Kujitenga na ibada na huduma

Mtu anaweza kuanza kuhisi hana sifa za kushiriki katika ibada au huduma kwa sababu anahisi anafanya dhambi mara kwa mara. Hii inaweza kusababisha kujitenga na jumuiya ya waumini.


4. Kulevya akili na tamaa mbaya

Punyeto inaweza kusababisha utegemezi wa kingono, ambapo mtu anakuwa mtumwa wa tamaa zake. Katika muktadha wa kiroho, hii inaweza kutafsiriwa kama kushindwa na mwili badala ya kuishi kwa roho.


5. Kupoteza heshima binafsi na utakatifu wa mwili

Imani nyingi zinafundisha kuwa mwili ni hekalu la Mungu, na hivyo unapaswa kutunzwa kwa utakatifu. Punyeto inaweza kuonekana kama kitendo kinachodhalilisha mwili na kupunguza hadhi ya mtu mbele za Mungu.


Ikiwa unakabiliana na changamoto hii na unahisi inaathiri maisha yako ya kiroho, unaweza kutafuta msaada wa kiroho kutoka kwa viongozi wa dini au kusali na kutafakari zaidi kuhusu njia za kudhibiti tamaa.
 
Tuambie madhala matano. Ya kimwili
Baadhi ya madhara 10 ya punyeto ya kimwili

1. Uchovu wa Mwili

Kujichua mara kwa mara kunaweza kusababisha uchovu wa mwili kwa sababu ya matumizi makubwa ya nishati.

2. Maumivu ya Misuli na Viungo

Misuli na viungo vinaweza kuathirika, hasa ikiwa unajichua kwa nguvu au kwa mikao isiyo sahihi.

3. Kushuka kwa Nguvu za Mwili

Kujichua kupita kiasi kunaweza kuathiri uzalishaji wa homoni kama testosterone, hivyo kupunguza nguvu za mwili na hamasa.

4. Tatizo la Uume Kudhoofika

Wanaume wanaojichua kupita kiasi wanaweza kupata tatizo la uume kushindwa kusimama imara (erectile dysfunction).

5. Kusababisha Utegemezi

Mwili unaweza kuzoea raha inayopatikana kupitia kujichua, hivyo kusababisha utegemezi wa punyeto badala ya mahusiano ya kawaida ya kingono.

6. Kusababisha Kuwahi Kufika Kileleni

Wanaume wanaojichua mara kwa mara wanaweza kuathiriwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni wanapofanya mapenzi halisi.

7. Kupungua kwa Mbegu za Kiume

Ingawa mwili huzalisha mbegu mpya mara kwa mara, kujichua kupita kiasi kunaweza kupunguza ubora na idadi ya mbegu za kiume.

8. Maumivu ya Sehemu za Siri

Punyeto ya kupita kiasi inaweza kusababisha maumivu au kuwashwa kwenye sehemu za siri kutokana na msuguano wa mara kwa mara.

9. Kukosa Usingizi

Kujichua mara kwa mara, hasa nyakati za usiku, kunaweza kuathiri usingizi na kusababisha uchovu wa kudumu.

10. Kupungua kwa Hisia Wakati wa Tendo la Ndoa

Baadhi ya watu wanaojichua kupita kiasi wanapoteza hisia za kawaida za kimapenzi na kushindwa kufurahia tendo la ndoa kwa kiwango kinachotarajiwa.

Ikiwa unahisi kujichua kunakuletea madhara kiafya au kisaikolojia, inaweza kusaidia kupunguza au kuacha taratibu. Pia, tafuta msaada wa kitaalamu ikiwa inahitajika.
 


Your browser is not able to display this video.
 
Tatizo la nyeto ni materials zinazotumika mpaka mtu anakojoa au ni cuz tu atumii uke kukojoa?
Maana kwa muktadha wa baadhi ya madhira ya hii kitu uliyotaja pia yanaweza sababishwa na hata kufanya mapenzi mfululizo.
 
Tatizo la nyeto ni materials zinazotumika mpaka mtu anakojoa au ni cuz tu atumii uke kukojoa?
Maana kwa muktadha wa baadhi ya madhira ya hii kitu uliyotaja pia yanaweza sababishwa na hata kufanya mapenzi mfululizo.
Kabisaa mzee
Hata mbegu kutoa kwa kujichua ni sawa na kutoa mbegu kwa kulala na ke, je ukilala kila mara na kukojoa haisababisjai uhaba wa mbegu?
Aje atujibu.
 
Kwa hiyo wewe ni mstaafu?
 
Kwanini usex na mwanamke Ambae si mkeo?. Fanya mapenzi na mkeo Ambae tayri ni mwili mmoja... Unapo mpa manii Yako tayari huyo mkeo ndio wewe.
We itakua ulioa una miaka 18, hivi genye linavokereketa kichupa kikijaaa ndo ukae unasubiri mpaka uoe? Maisha ni haya haya bwashe ukipata fursa we nyandua kidogo kikubwa usimlaghai binti wa watu kubalianeni vizuri
 
Miaka gonganaaa..sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…