Tangu nianze kuishi na demu ghetto nimeacha Nyeto

Tangu nianze kuishi na demu ghetto nimeacha Nyeto

Miaka 23 ? Bro mbona uliwai sana ?
Bro Mimi nimemaliza la 7 mwaka 2007 sikuendelea na shule so nili move town kwenye mapambano. 2016 nikaoa baada ya kupima maisha ya usingle ni maisha machafu sana.. zinaa, nyeto na takataka kibao hapo ndio mahala pake sababu nadhan sababu unakuwa na uhuru 💯 %. JF niliifaham 2010 nikajiunga rasmi 2013... Nashukuru jf imenifunza mengi sana
 
Vijana siku hizi mnaoa kwa sababu nyepesi sana, kama wewe hapa msingi wako wa hoja watu waoe ili kupata uhakika wa sex. Umesahau mambo mengine kama uchumi, magonjwa ya kurithi, thinking capacity ya mwenza wako n.k ndio maana ndoa hazidumu kwa sababu ukishazoea iyo mbususu kinachofuata ni kumuona mwenzako kero
 
Bro Mimi nimemaliza la 7 mwaka 2007 sikuendelea na shule so nili move town kwenye mapambano. 2016 nikaoa baada ya kupima maisha ya usingle ni maisha machafu sana.. zinaa, nyeto na takataka kibao hapo ndio mahala pake sababu nadhan sababu unakuwa na uhuru [emoji817] %. JF niliifaham 2010 nikajiunga rasmi 2013... Nashukuru jf imenifunza mengi sana
Haibadilishi mtazamo ulioa mdogo .
 
kwa demu unakaa muda gani kifuani mkuu, ili tupime madhara ya nyeto na kukojoa mapema
 
Hakika dawa ya kuacha nyeto automatically ni kukaa na mwanamke pamoja

Nlikua mdau wa nyeto a.k.a mkono bao tangu mwaka 2004 hadi mwanzoni mwa mwaka 2025

Hatimaye nikapata mtoto mzuri wa mwaka 2005 naishi nae maskani, huwezi amini ni mwezi sasa nimeachana na nyeto na siitamani tena

Maana nikiwaza nyeto tu nakutana na mbususu ya moto ya demu wangu naachana na suala la kujichukulia sheria mkononi

Wale wenye nia ya kuacha nyeto nawashauri chukua demu kaa nae ghetto utaacha mwenyewe automatically

Vijana oeni kuepuka kujichukulia sheria mkononi.
Umepata watoto Wangapi!?😂😂😂 Tumbo langu mweee
 
Yaani mkuu una uzoefu wa zaidi ya miongo miwili kwenye nyeto.

Wewe ni Fildi-masho.🙌
 
Back
Top Bottom