Tangu nianze kuishi na demu ghetto nimeacha Nyeto

Miaka 23 ? Bro mbona uliwai sana ?
Bro Mimi nimemaliza la 7 mwaka 2007 sikuendelea na shule so nili move town kwenye mapambano. 2016 nikaoa baada ya kupima maisha ya usingle ni maisha machafu sana.. zinaa, nyeto na takataka kibao hapo ndio mahala pake sababu nadhan sababu unakuwa na uhuru πŸ’― %. JF niliifaham 2010 nikajiunga rasmi 2013... Nashukuru jf imenifunza mengi sana
 
Vijana siku hizi mnaoa kwa sababu nyepesi sana, kama wewe hapa msingi wako wa hoja watu waoe ili kupata uhakika wa sex. Umesahau mambo mengine kama uchumi, magonjwa ya kurithi, thinking capacity ya mwenza wako n.k ndio maana ndoa hazidumu kwa sababu ukishazoea iyo mbususu kinachofuata ni kumuona mwenzako kero
 
Haibadilishi mtazamo ulioa mdogo .
 
kwa demu unakaa muda gani kifuani mkuu, ili tupime madhara ya nyeto na kukojoa mapema
 
Umepata watoto Wangapi!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tumbo langu mweee
 
Yaani mkuu una uzoefu wa zaidi ya miongo miwili kwenye nyeto.

Wewe ni Fildi-masho.πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…