Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
-
- #361
Tushawaambia humu kaka sisi siyo cheap kiivo ukiona tumependa ujue tunamaanishayou very desparate, cool down.
wewe ni Mwanamke ambae unatamani sana nikufate PM nikutongoze. lakini unaona haitokei unakasirika.
unakasirika nikiku mention, Interesting!!
im not cheap. humu jukwaani ni sehemu tu ya ku relax. haiwezi kuwa real usiwe na mategemeo hayo
ShesRise_1 Interesting, niki kumention unakasirika. Very interesting...
wanadanganywa na id wanatukadiria wavyodhani wao.Tushawaambia humu kaka sisi siyo cheap kiivo ukiona tumependa ujue tunamaanisha
beng'we!!Safi gete. Isato na sangala twalaga noi
mapenzi magenziAhaa kweli,
Nale kulindaga mpenzi wane meghan markle
hahahha hatupishani!Mimi cha kuongea nitageuka kuwa Mr bean.
mbunifu kwenye 1&2, kadi a mialiko utaandaa wewe 🤣🔴 LIVE: BABA MTAKATIFU AMWAGA RADHI KWA MWANADADA SERAN
──────────────────────────
★ Kwa udhamini wa...★
Seran's Peace of Mind™ •
Baba Mtakatifu Rejection Services •
Common Sense Buswelu LTD
Proudly supporting boundaries since 2024
──────────────────────────
kwani ana nini huyu?Huyu hawezi kuwa wewe
utauona siku si nyingi!Mmm! huo wenkunduuuu natamani kuuona!
Baba hapo umenipata, nimetoka home city hapa sijazipata aisee na hiki kibaridiNapata tabu kuandika nitajieleza vizuri baadae wacha ninyooshe rizla kwanza
Ihaha nalijikumbula duhu isato ja kukaya,beng'we!!
Awaap wewe mpka lafudhi unayo kabisahahahha hatupish
Amefanyaje huyo meghan markle?
NamtafutaAmefanyaje huyo meghan markle?
wachoke? watu watafuta sababu ya kuanika tupu zetu kwa wivu mkubwa!bado mnavutiwa tu🤦♀️ mi nikajua mlichoka jana wajameni
ole hale obebe?Ihaha nalijikumbula duhu isato ja kukaya,
hahaha naandika tu utacheka!Awaap wewe mpka lafudhi unayo kabisa
amepotea, anatafutwa!Amefanyaje huyo meghan markle?
Kuna watu mnazoeana hata kama ni fake ID ila akipotea unakuwa na wasiwasi. Sjui kapatwwa na niniAah sawa last seen yake ni mwaka 2024
Nale dalisalamu mayo.ole hale obebe?
Obebe gete. Mbona sijaona broken yoyote? Unaflow tu mwanamkehahaha naandika tu utacheka
Khooohhh!!!....khoooohhhhh!!!wachoke? watu watafuta sababu ya kuanika tupu zetu kwa wivu mkubwa!
sina roho mbaya hiyo mkuu..