Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Kumbe nilipoteza furaha na hukuniambia?
 
ko ng'wani 😅

hahaha kwasababu wote hatujui ndio maana unaona hivyo, wajuvi huwa wanaona wanacheka sana!
Pia hao hao wajuzi wa mambo husema "if you can't buy it twice, you can't afford it"
Wengi wetu hatujawa na uwezo wa kumiliki vile vitu tunamiliki na kuvihusudu ila tunafanya hivyo kwa sababu tunaamini vitu kama simu, magari , mademu na mavazi zinatuweka kuwa daraja fulani ambalo kiuhailisi hatujafika
 
Kwanini unadandia treni kwa mbele? Nani kakwambia hapo tulikuwa tunaongelea uwezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…