mambo ni mengi muda mchache๐ฎโ๐จKupitia emoji
Kwapa ama tamUmejielezea sana Mkuu, akupe hata kwapa unuse
๐๐๐Mpigie tu nyeto mkuu, Kwa maana ameshawekwa ndani na Ayatollah secretarybird.
Pole sana!
Wacha weee una waumiza moyo watoto wa watu tuNishazoea huu uzi sijui wa 6
Kmmk ๐๐๐คฃ๐Madomo zege huwa mna nginja nginja sana.
Sasa tabasamu lake humu JF wewe umeliona wapi?
๐๐๐๐๐๐๐Hivi vitoto vya Shule,member yeyote tu wa kike,akiwa active sana hapa JF basi vyenyewe vinadai vinampenda.
๐๐
๐๐๐๐คฃJF VAR CHECH
Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10 halafu anatokea single mom anauteka moyo wangu kiurahisi hivi kwahiyo nitaishi hivi bila kuchakata bikra? Kingine huyu single mother anaonesha kujali japo ashaanza kuona mapungufu yangu ya kijamii kama kutokujiamini kwangu na kuwaogopa maboss zangu kazini karibuni kwa ushauri wenu
- Kijana wa Kizimkazi 2030
- mapenzi single single mother
- Replies: 60
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUmejielezea sana Mkuu, akupe hata kwapa unuse
๐Na muanzisha uzi unaweza kukuta ni kakijana kadogo tu kama Anko Nzala.
๐๐๐ Unaelekea ndio zakoMvunja barafu, usidharau nguvu ya penzi mtandao.
Kuna watu wanapatana mtandaoni baadae wanavigusanisha mubashara!
Penzi mtandao ni rahisi, halina mbwembwe za mitoko. Kuna watu wana miandiko "sexy" aisee!
Mlambishe hata kwapa kijana wa watu nyege zimshuke ๐Sasa ndio kaanzishia singo mama uzi huku ni kasheshe ๐คญ
namuumizaje mtu ambaye sifahamiani naye zaidi ya Id's tu?Wacha weee una waumiza moyo watoto wa watu tu
Hawalali kwaajili Yako ๐
typing......processing.......
Itakuwa mwandiko wako umemvhanganyanamuumizaje mtu ambaye sifahamiani naye zaidi ya Id tu?
shirika la kutoa nyege sio?Mlambishe hata kwapa kijana wa watu nyege zimshuke ๐