Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Sawa mnitukane sina hela.

Vibinti tu ya 20+ yrs.

Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki.

So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia ahakikishe kwa namna yoyote awe ana umiliki wa asset yoyote ya kila bwana anaekuwa nae sio tu kugawa mapenzi tu kirahi rahisi.

The point ni kuwa, huyu mchepuko ni malaya, hio raha unayoigharamia kuna fala anakula bure kabisa.

Reallity ni kuwa mchepuko unaishi nae kihuni huni na kisela sela basi mmalizane kihuni huni, ila unapofanya malaya pua zake kuwa karibu na possession na utu wako kiujumla basi you are the embarrassment of the century.
 
Back
Top Bottom