stumii soda mchana Mara nyingi pia siliPunguza vyakula vya wanga, mafuta mengi na sukari mkuu.
Uzito upo kwenye mifupa maybe.Mi nafanya sipungui uzito ingawa mwili umepungua I wonder loh
Mh!!! Ebu tupatie mechanism ya red meat kuletekeza uzito mkuu.Acha kula nyama Nyekundu.....kula Samaki,Kuku na Mbogamboga kwa maana ya matunda matunda.
kabda nile nyasi kabisa maana kama nyama nimepunfuza, nakula samaki na matembele tuAcha kula nyama Nyekundu.....kula Samaki,Kuku na Mbogamboga kwa maana ya matunda matunda.
kuna mtu alishauri nifanye mapenzi sana nitapungua, ikawa daily lakini hamna kituMi nafanya sipungui uzito ingawa mwili umepungua I wonder loh
πππππNiliona mshikaji wangu kapungua, nikatamani nilipomliza nini amafanya akasema kuna vidoge amenunua anameza kimoja asubuhi na kimoja jioni kabla ya kwenda mazoezini.....nikaenda nunua vile vidoge na kufuata maelekezo, baadae ya siku 7 nilivyopima uzito nikajikuta nimeongezeka kilo 4. Hasira zake nilizimalizia nilikonunua hiyo midawa
Usirudie tena...!Niliona mshikaji wangu kapungua, nikatamani nilipomliza nini amafanya akasema kuna vidoge amenunua anameza kimoja asubuhi na kimoja jioni kabla ya kwenda mazoezini.....nikaenda nunua vile vidoge na kufuata maelekezo, baadae ya siku 7 nilivyopima uzito nikajikuta nimeongezeka kilo 4. Hasira zake nilizimalizia nilikonunua hiyo midawa
kwanini tupe somo na wengine tusijejaribuUsirudie tena...!
nakufananisha na wale wanaobishana na kioo......hahahaaaaaaaaaaaaa mkuu itakua kwenye saikolojia yako lipo,utakua unafikiria aah nimetoka kufanya mazoezi so niko okay kula sasa hivi,au ngoja nile nitafanya mazoezi matokeo yake unakula sana,you have to beat food addiction,sio kweli ukifanya mazoezi unaongezeka NEVER!..
situmii pombe mkuuMtu unapiga mazoezi ikifika jioni unaenda kula nyama choma na kupigilia balimi utapungua wapi, pathetic kabisa nonsense 6.4Kg
nakufananisha na wale wanaobishana na kioo......