Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Mwenzenu tangu nianze jogging nakimbia Kilomita takibani kumi kila wiki na push-up 200 kila siku.

Cha ajabu kilo badala zipungue ndo zinazidi; sielewi nakosea wapi. Situmii supu, bia wala soda na chakula changu kikubwa ni ugali wa dona.

Malengo yangu nataka uzito upungue!
 
Acha kula nyama Nyekundu.....kula Samaki,Kuku na Mbogamboga kwa maana ya matunda matunda.
 
kabda nile nyasi kabisa maana kama nyama nimepunfuza, nakula samaki na matembele tu
 
Niliona mshikaji wangu kapungua, nikatamani nilipomliza nini amafanya akasema kuna vidoge amenunua anameza kimoja asubuhi na kimoja jioni kabla ya kwenda mazoezini.....nikaenda nunua vile vidoge na kufuata maelekezo, baadae ya siku 7 nilivyopima uzito nikajikuta nimeongezeka kilo 4. Hasira zake nilizimalizia nilikonunua hiyo midawa
 
Push up Hazina msaada kwenye kupunguza uzito angalau jogging, Fanya mazoezi ya aerobics, punguza misosi ya mafuta na wanga, kama utaweza tumia juicy ya limao angalau Mara moja kwa siku na ukisha kunywa tulia walau dakika 5 ndio uanze kunywa maji walau Lita moja na nusu, hiyo no kwa asubuhi, jioni tizi la nguvu usisahau kuruka kamba walau 450 yaani set 3, kila set ruka 150, Fanya mazoezi angalau 4 days kwa siku, siku mbili pumzika, kila mwezi utapungua walau kilo tatu, mazoezi yanasaidia kupunguza mwili kwa 35%, 65% msosi.
 
Niliona mshikaji wangu kapungua, nikatamani nilipomliza nini amafanya akasema kuna vidoge amenunua anameza kimoja asubuhi na kimoja jioni kabla ya kwenda mazoezini.....nikaenda nunua vile vidoge na kufuata maelekezo, baadae ya siku 7 nilivyopima uzito nikajikuta nimeongezeka kilo 4. Hasira zake nilizimalizia nilikonunua hiyo midawa
😀😀😀😀😀
 
Usirudie tena...!
 
hahahaaaaaaaaaaaaa mkuu itakua kwenye saikolojia yako lipo,utakua unafikiria aah nimetoka kufanya mazoezi so niko okay kula sasa hivi,au ngoja nile nitafanya mazoezi matokeo yake unakula sana,you have to beat food addiction,sio kweli ukifanya mazoezi unaongezeka NEVER!..
 
Mtu unapiga mazoezi ikifika jioni unaenda kula nyama choma na kupigilia balimi utapungua wapi, pathetic kabisa nonsense 6.4Kg
 
hahahaaaaaaaaaaaaa mkuu itakua kwenye saikolojia yako lipo,utakua unafikiria aah nimetoka kufanya mazoezi so niko okay kula sasa hivi,au ngoja nile nitafanya mazoezi matokeo yake unakula sana,you have to beat food addiction,sio kweli ukifanya mazoezi unaongezeka NEVER!..
nakufananisha na wale wanaobishana na kioo......
 
Back
Top Bottom