Mwenzenu tangu nianze jogging nakimbia Kilomita takibani kumi kila wiki na push-up 200 kila siku.
Cha ajabu kilo badala zipungue ndo zinazidi; sielewi nakosea wapi. Situmii supu, bia wala soda na chakula changu kikubwa ni ugali wa dona.
Malengo yangu nataka uzito upungue!