[emoji3516]Kweli mkuu ndoa ukimpata mdada alosimama maniner utajuta kuchelewa, binafsi nnajutia sana kuchelewa kuoa maana huyu Muha ananipeya life good sana, she loves me tokea nikiwa kapuku mpaka sahii ninaweza leta kila kitu home, amesoma shule kubwa, big brain, big office na wala hajasau majukum ya ndoa, anawapenda na kuwaheshim wazee wangu na mwisho kanizalia handsome mmoja balaa munoo, Vijana oeni
Nikuseti ili nigundue nini mzee we pambana na hao viswaswadu wako, unaokoteza okoteza makorokoro ukijua wanawake wote wapuuzi[emoji3516]
HAKUNA CHOCHOTE!!!
TUNAJUA KUWA CHA MOTO UNAKIONA,
UNATUSETI NA SISI TUKIONE CHA MTEMA_KUNI.
Acha kutuvunja moyo sisi tunaoishi huku nje ya nchi mkuu.Habari JF
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata faida zifuatazo:
*Chakula napikiwa
*Nguo nafuliwa
*Kuoga naogeshwa
*Mtoto kanizalia
*Chakula napakuliwa
* Mke anatumia jina langu kwenye shughuli zake rasmi
*Unyumba ananipa kila ninapohitaji,, yaani asione dushe limestuka anachukuwa anaweka waah
*Manunuzi ya vitu vyote vya nyumbani anafanya yeye
*Bajeti na matumizi ya nyumbani anapanga yeye
Wakuu kiukweli naenjoy saana,, wale wenye shida na ndoa zenu msigeneralize mambo.. Pambanieni ndoa zenu
mwambie huyo, yangu ilianza kama hivo wife usiku apiga kanga ya mombasa na vishnga kazaa kiunoni, babababa kwa hivi niko nae hapa keshapiga pensi zito tite na pichu jumlisha na gagulo ,yani ndoa hizi we acha tu.Sasa ndoa ina mwaka tu unakuja kuleta ushuhuda humu [emoji38]