- Thread starter
- #61
Mkuu kitu nisichoweza kuvaa ni sare ya aina yoyote ileHuyo hapo bado wanavaa nguo sare, vitenge wanashona sare mke na mume vya kuvaa jumapili. [emoji1][emoji1]
Huko siko lakini si vibaya mke na mume kumatch kimavazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kitu nisichoweza kuvaa ni sare ya aina yoyote ileHuyo hapo bado wanavaa nguo sare, vitenge wanashona sare mke na mume vya kuvaa jumapili. [emoji1][emoji1]
[emoji3][emoji3][emoji16]
Mmebadilisha lini jina na kwenye mamlaka ipi?Sawa wewe usiye na porojo
Wangu anatumia jina langu, ni msomi tena wa chuo kikuu cha taifa!
Baki na mawazo ya makupuku wenzio
Wengi wanadanganywa sana kumbe ndoa ni tofauti kutegemea na mtuWatu hawapendi habari njema wanafurahi kuona kila mtu akilialia tu na kulalamika all day everyday ili waone wote mpo sawa.
Kwa hiyo marioo umeamua kujitangaza status yako kabisa[emoji848]Habari JF
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata faida zifuatazo:
*Chakula napikiwa
*Nguo nafuliwa
*Kuoga naogeshwa
*Mtoto kanizalia
*Chakula napakuliwa
* Mke anatumia jina langu kwenye shughuli zake rasmi
*Unyumba ananipa kila ninapohitaji,, yaani asione dushe limestuka anachukuwa anaweka waah
*Manunuzi ya vitu vyote vya nyumbani anafanya yeye
*Bajeti na matumizi ya nyumbani anapanga yeye
Wakuu kiukweli naenjoy saana,, wale wenye shida na ndoa zenu msigeneralize mambo.. Pambanieni ndoa zenu
Watu wamechafukwa [emoji23][emoji23]Watu hawapendi habari njema wanafurahi kuona kila mtu akilialia tu na kulalamika all day everyday ili waone wote mpo sawa.
Jamaa wako kwenye honeymoon phase tu kwa sasa yeye anaona mke anampenda sana 😅Omba Mungu sana meza isije kupinduka ole wako nakwambia hayo yote unayo tendewa yote utayasahau hutakumbuka hata moja.
Atakumbuka si kuandika hapaOmba Mungu sana meza isije kupinduka ole wako nakwambia hayo yote unayo tendewa yote utayasahau hutakumbuka hata moja.
Mbona unarudi kila sehemu kama wimboNchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
Utamu wa ndoa huanza pale ambapo kipato kimeyumba ratiba haziendi kama awali mjengoni! Bill kulipa kwa tochi sana halafu mko nyumba ya kupanga😅Endeleeni hivyo hivyo ila omba sana usije ukafulia (ukapalala) mfukoni,, najua utakuja kuomba msaada humu JF
Tumwambie au tumuache ache kwanza😅😅😅Niswala la muda tu utarudi kuomba hushauli
Hahahahahah raha ya ndoa huanza kuanzia mwaka wa 3Baada ya miaka 3,Rudi hapa tena utupe haya maelezo! Ndoa ndiyo bado inamwaka mmoja! Ukijifunika shuka moja,mmoja akaachia ushuzi hakuna hata wakugomba?? Subiri miaka ipite kama mitatu hivi! Utakuja hapa unalia