- Thread starter
- #21
Tunapendana, tunaaminiana na tunalindanaEti anachukua anaweka waa,we jisifu wajeba watakutafuta mpaka wamle mkeo.We watamanishe tu
Pia tuomba Mungu kila uchwao ndoa yetu idumu milele katika amani na raha,, shida sisi hatuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapendana, tunaaminiana na tunalindanaEti anachukua anaweka waa,we jisifu wajeba watakutafuta mpaka wamle mkeo.We watamanishe tu
Kama kawaida,, baby nadekezwaUnaogeshwa eeh?
Habari jf
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata faida zifuatazo:
*Chakula napikiwa
*Nguo nafuliwa
*Kuoga naogeshwa
*Mtoto kanizalia
*Chakula napakuliwa
* Mke anatumia jina langu kwenye shughuli zake rasmi
*Unyumba ananipa kila ninapohitaji,, yaani asione dushe limestuka anachukuwa anaweka waah
*Manunuzi ya vitu vyote vya nyumbani anafanya yeye
*Bajeti na matumizi ya nyumbani anapanga yeye
Wakuu kiukweli naenjoy saana,, wale wenye shida na ndoa zenu msigeneralize mambo.. Pambanieni ndoa zenu
Ugwadu siujui kabisa..yeye pia anayafahamu haya na anaenjoy sanaHahahahahaha maugwadu huyajui wewe. Hongera sana lakini usiishie kumsifia pembeni mwambie muhusika na umuonyeshe kwa vitendo vya KIMAPENZI NA UPENDO.
Hivi serikali inazarauliwa na viongozi wengine au maana watu ndani ya serikali wanafanya sabottage ya sgr na jhpp na serikali ipo kimya HATA MWAKA HAUISHAHabari jf
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata faida zifuatazo:
*Chakula napikiwa
*Nguo nafuliwa
*Kuoga naogeshwa
*Mtoto kanizalia
*Chakula napakuliwa
* Mke anatumia jina langu kwenye shughuli zake rasmi
*Unyumba ananipa kila ninapohitaji,, yaani asione dushe limestuka anachukuwa anaweka waah
*Manunuzi ya vitu vyote vya nyumbani anafanya yeye
*Bajeti na matumizi ya nyumbani anapanga yeye
Wakuu kiukweli naenjoy saana,, wale wenye shida na ndoa zenu msigeneralize mambo.. Pambanieni ndoa zenu
Porojo dot com, wanawake wa sasa hawezi kutumia jina lako labda kama hajakwenda shule umeoa Mwantumu.Habari jf
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa
Tangu nimeoa napata faida zifuatazo:
*Chakula napikiwa
*Nguo nafuliwa
*Kuoga naogeshwa
*Mtoto kanizalia
*Chakula napakuliwa
* Mke anatumia jina langu kwenye shughuli zake rasmi
*Unyumba ananipa kila ninapohitaji,, yaani asione dushe limestuka anachukuwa anaweka waah
*Manunuzi ya vitu vyote vya nyumbani anafanya yeye
*Bajeti na matumizi ya nyumbani anapanga yeye
Wakuu kiukweli naenjoy saana,, wale wenye shida na ndoa zenu msigeneralize mambo.. Pambanieni ndoa zenu
Wataachana tu
Ha ha.wapiga ramli mmeanzaWenzako woote walianza hivyo hivyo sasa wanaachana wana watoto4
Kaa kwa kutulia mzee mtaachana tu[emoji41]
[emoji41][emoji41]Ha ha.wapiga ramli mmeanza
Tunakupa muda tu wala usijali [emoji23]Habari jf