Tangu nimeoa naona nafaidika sana na ndoa yangu

Tangu nimeoa naona nafaidika sana na ndoa yangu

Kweli mkuu ndoa ukimpata mdada alosimama maniner utajuta kuchelewa, binafsi nnajutia sana kuchelewa kuoa maana huyu Muha ananipeya life good sana, she loves me tokea nikiwa kapuku mpaka sahii ninaweza leta kila kitu home, amesoma shule kubwa, big brain, big office na wala hajasau majukum ya ndoa, anawapenda na kuwaheshim wazee wangu na mwisho kanizalia handsome mmoja balaa munoo, Vijana oeni
[emoji3516]
HAKUNA CHOCHOTE!!!

TUNAJUA KUWA CHA MOTO UNAKIONA,
UNATUSETI NA SISI TUKIONE CHA MTEMA_KUNI.
 
Ukiangalia tu commet unajua akili za watu zilivyozoea habari mbaya kuhusu ndoa.

ni ujinga kudhani ndoa zote zinashida,nzuri zipo sana,lakini unasikia mbaya kwakua ndicho unachotaka kusikia,na utaendelea hivyo hivyo.

By the way mkuu hongera sana kwa kupata mke mzuri,kula maisha.
 
Habari JF

Ni zaidi ya mwaka sasa tangu nilipoamua kuoa, ninayoyapata humu ndani ya ndoa ni tofauti kabisa na maneno ya wengi yaliyokuwa yakinitia hofu na kukatisha tamaa

Tangu nimeoa napata faida zifuatazo:
*Chakula napikiwa

*Nguo nafuliwa

*Kuoga naogeshwa

*Mtoto kanizalia

*Chakula napakuliwa

* Mke anatumia jina langu kwenye shughuli zake rasmi

*Unyumba ananipa kila ninapohitaji,, yaani asione dushe limestuka anachukuwa anaweka waah

*Manunuzi ya vitu vyote vya nyumbani anafanya yeye

*Bajeti na matumizi ya nyumbani anapanga yeye

Wakuu kiukweli naenjoy saana,, wale wenye shida na ndoa zenu msigeneralize mambo.. Pambanieni ndoa zenu
Acha kutuvunja moyo sisi tunaoishi huku nje ya nchi mkuu.
 
Sasa ndoa ina mwaka tu unakuja kuleta ushuhuda humu [emoji38]
mwambie huyo, yangu ilianza kama hivo wife usiku apiga kanga ya mombasa na vishnga kazaa kiunoni, babababa kwa hivi niko nae hapa keshapiga pensi zito tite na pichu jumlisha na gagulo ,yani ndoa hizi we acha tu.
 
Back
Top Bottom