Inaonyesha unapenda Moto sana wewe! Umeshinda kungwi.Mkituonja na sisi tunapata jibu kama tufunge pingu za maisha ama tuendelee kutafuta
Wanaume walivyo wachache usipoonja unaweza kujikuta unaolewa na mwenye mashine inaamka mara moja kwa mwezi
Faida kote kote.Mkituonja na sisi tunapata jibu kama tufunge pingu za maisha ama tuendelee kutafuta
Wanaume walivyo wachache usipoonja unaweza kujikuta unaolewa na mwenye mashine inaamka mara moja kwa mwezi
Huu ndio ujinga wa wapentecoste wanaoaminishana usifanye tendo kabla ya kumuoa..Hapana, hatukuonjana kwakweli... Nimemuonja baada ya kumuoa
Kuonja ni muhimu aseee....ili kupata kilicho bora 😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uko sahii kabisa,
kutest mitambo Ina faida sana kwa wote.
Sema wanawake wengi hawaelewi
Bado mapema anaweza kuta tatoo ya msela akasepa.Alivyo ambiwa hakuna kuonjana angejiongeza.Si mkewe anaweza kumsaidia hayo makovu kuyatoa
Hatujawahi kuoga pamojaHamuogi pamoja? Au mnaoga gizani?
Asante sana mkuuSolution ni hii .....mfanye akuzoee akuone zaidi ya mume hapo fanya hvi
Hakikiesha siku nyingine mnaoga wote bafuni ....unamsugua then mnyandue
Hakikisha mna nyoana.........
Hapo atakuzoea utapiga show hadi jikon
Wanaume walivyo wachache usipoonja unaweza kujikuta unaolewa na mwenye mashine inaamka mara moja kwa mwezi
Anaweza kota Tatoo ai lavu yu........halafu siyo jina lakeBado mapema anaweza kuta tatoo ya msela akasepa.Alivyo ambiwa hakuna kuonjana angejiongeza.
Ukiona.mtu anang'ang'ania kutest mpaka Ndoa ujue Kuna kitu anafichaKuonja ni muhimu aseee....ili kupata kilicho bora [emoji16]
Asante sanaShe's just being insecure na wanawake wengi ndo tulivyo.
Tupo so conscious of our bodies hata kabla hatujazaa.
Yaani michirizi kidogo tu, au cellulite au hata kakitambi inatosha kabisa kumkosesha mwanamke raha na amani na uwezo wa kukaa uchi mbele ya mumewe.
Cha kufanya, embrace her insecurities, msifie more often and get her to wiggle out of her cocoon.
She's just being insecure na wanawake wengi ndo tulivyo.
Tupo so conscious of our bodies hata kabla hatujazaa.
Yaani michirizi kidogo tu, au cellulite au hata kakitambi inatosha kabisa kumkosesha mwanamke raha na amani na uwezo wa kukaa uchi mbele ya mumewe.
Cha kufanya, embrace her insecurities, msifie more often and get her to wiggle out of her cocoon.
Ameshakuona hujui kutofautisha mbususu na ule mtandao pendwa.Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.