Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Swali: Ni mtamu? Ana mnato? Basi endelea tu vya usiku gizani...
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.

kama Hana mapungufu Kwenye Mwili wake; nenda naye taratibu tu; kuna watu and wana asili hiyo; usimhukumu!

Kunyanduana Hakuna Mda mzuri; cha maana upate tu; Kama hakunyimi wewe nenda naye taratibu tu!
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom