Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.

Ina maana hamjawahi hata kuoga pamoja?
 
Mkituonja na sisi tunapata jibu kama tufunge pingu za maisha ama tuendelee kutafuta

Wanaume walivyo wachache usipoonja unaweza kujikuta unaolewa na mwenye mashine inaamka mara moja kwa mwezi

Bora mara moja kwa mwezi, mara moja kwa mwaka alafu ni sekunde 15
 
Mimi nna demu hatakagi kuvua sidiria yake kamwe.
Huyu siwez kumuoa hata kidogo, yaani yeye kuivua ni HAWEZI hata ufanyaje atatumia ata nguvu zake za akiba afiche nyonyo zake.
Sasa wewe ndgu yang bahat mbaya ushaingia ndoani vumilia tu, huyu wangu nahisi ana ndala ndefu ndo mana hataki kuonesha, huyo wako sijui ana nini.

Nachelea kusema ana makovu ama magamba mwilini

Sasa na bafuni anaendaje
 
Back
Top Bottom