Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Acha ufala,asikuxingue tumia nguvu,oga nae kinguvu,mnyandue mchana kinguvu na usiku washa taa nyandua hataki kadai mahari yako
 
Sijaja kushitaki, nilikua naomba ushauri, maana nahisi si tabia ya kawaida
Umekuja kushtaki au ulalamika? Miaka saba hujajua tabua za mkeo, hataki mchana labda anatoa sauti ya miguno mikubwa hivyo anaogopa kusababisha taharuki hataki mwanga hilo ulitakiwa ujue sababu nini maana wanawake wengine wanaona aibu akiwa anapigwa mashine na mwanga upo utajua macho yake yanavyobehave wakati wa mgegedo
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Labda ana makovu
 
ni kabila gani na anatokea mkoa gani?
 
She's just being insecure na wanawake wengi ndo tulivyo.

Tupo so conscious of our bodies hata kabla hatujazaa.

Yaani michirizi kidogo tu, au cellulite au hata kakitambi inatosha kabisa kumkosesha mwanamke raha na amani na uwezo wa kukaa uchi mbele ya mumewe.

Cha kufanya, embrace her insecurities, msifie more often and get her to wiggle out of her cocoon.
Always on point [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mimi nna demu hatakagi kuvua sidiria yake kamwe.
Huyu siwez kumuoa hata kidogo, yaani yeye kuivua ni HAWEZI hata ufanyaje atatumia ata nguvu zake za akiba afiche nyonyo zake.
Sasa wewe ndgu yang bahat mbaya ushaingia ndoani vumilia tu, huyu wangu nahisi ana ndala ndefu ndo mana hataki kuonesha, huyo wako sijui ana nini.

Nachelea kusema ana makovu ama magamba mwilini
Huyu hataki umkojoze!! Wakikojoa wanachoka anashindwa kuhudumia wenzio. Huu ndo ukweli
 
Back
Top Bottom