Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Ndiyo nnalo mkuu una cha kushauri?
Aisee, mi Ugonjwa wangu huo.....[emoji4]
IMG_20211224_184043.jpg
 
Yah +1
Lakini the fact kuwa amefanikiwa kumficha jamaa hadi akaoa , na leo analalamika kutoona papuchi ya mkewe !! She is smart kushinda msela , mwanamke aliyefanyiwa FGM anatakiwa ajulikane kwenye game ya kwanza tu
Alaf mm nnavyojua FGM hata usipoona papuchi kwny kupima oil unajua tuu,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Umenkumbusha lulu wangu alikua anasema namchungulia
 
Yah +1
Lakini the fact kuwa amefanikiwa kumficha jamaa hadi akaoa , na leo analalamika kutoona papuchi ya mkewe !! She is smart kushinda msela , mwanamke aliyefanyiwa FGM anatakiwa ajulikane kwenye game ya kwanza tu
kapigwa mtu hapa
 
Back
Top Bottom