AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Kiongozi ndo ukutane na mwanamke mchawi unaweza jikuta uko mbezi hujui unakwenda wapi na mji unao ...we acha tu watu wamekimbia miji yao kwa mambo mengiMwanaume utakiwi kukimbia mji kisa mwanamke ana kusumbua
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bahati mbaya hujui unamuambia mtu wa aina gani upupu huu, nishavuka age ya kudate na watu hovyo hovyo.Sikiliza utapigwa mimba za kutosha then unaachwa kama kawa ukiwa mpuuzi
nme
nilifikiria hili ila mimi haiba yangu ni ngumu sana kujichanganya na watu na watu niaoweza kujichanganya nao wengi wanakuwa kazi zao mchana
Sikiliza utapigwa mimba za kutosha then unaachwa kama kawa ukiwaNawashangaaga sana wanaume wa hivyo.
Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.
Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.
Pesa zangu ni zangu.
Ova.
Kama ushavuka iyo age Basi acha kukata vitinguu maji .Uzuri 🤣 Medulla zenu azifanani Thanks God[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bahati mbaya hujui unamuambia mtu wa aina gani upupu huu, nishavuka age ya kudate na watu hovyo hovyo.
Then punguza makasiriko Tafuta pesa timiza majukumu yako kama mwanaume.
Cha mwanamke hakitegemewi.
Waambie kabisa!Hiki kizazi Cha vijana kukimbilia kuoa Wanawake wafanyakaz ili msaidiane maisha kitakuja kuwatoa roho vijana[emoji26]
Mkuu uamuzi ulifanya nahisi ni sahihi.Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Hapa ndo sielewi kabisa. Kwahiyo siku akikosa imekula kwake, akipata ndo mume. My dear tafuta wakuendana na wewe na uwe muwazi kabisa mwambie ukweli ajipange.Nawashangaaga sana wanaume wa hivyo.
Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.
Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.
Pesa zangu ni zangu.
Ova.
Mi nishakuwaga muwazi, nimemwambia kabisa mtu wangu mimi niko hivyo akiona hawezi Aende atafute mtu mwingine aoe sina cha kupoteza mimi.Hapa ndo sielewi kabisa... Kwahiyo siku akikosa imekula kwake,akipata ndo mume.... My dear tafuta wakuendana na wewe na uwe muwazi kabisa mwambie ukweli ajipange.
Mume anatoa mahitaji yote ya familia kasoro matumizi binafsi ya mke, sasa hapo kosa la mume nini? Mwenyewe kaeleza kuwa hatoki lakini huwa anafanya kazi kupitia pc na analipwa, sasa kuzurura ndo ataonekana mume halisi?Kwan unapata shida gani kumfulia ama kujifunza kupika kwaajili ya umpendae? acha kusikiliza story za mtaani, ishi maisha halisia.
Kingine, hata km huna kazi, toka kajichanganye na wanaume wenzio huko nje, ukirudi njoo hata na mkate ama Embe hata km ni moja, acha ujinga mkuu
Mi nishakuwaga muwazi, nimemwambia kabisa mtu wangu mimi niko hivyo akiona hawezi Aende atafute mtu mwingine aoe sina cha kupoteza mimi.
usimsikilize uyu mwanamke akibadilika imetoka ioHabari,
Hapa ndo panahitaji ujasiri. Mke ni wako na wewe ndo mmewe, na maisha ni yenu na familia yako.
Pata muda na mwenzako:
1: Orodhesha mabaya na mazuri ya mkeo kwako na familia yako/watoto.
2: Mke wako aje na mabaya na mazuri yako kwake na kwa familia.
3: Kaeni wawili bila mihemko na kujadili pande zote kwa kusikilizana.
4: Amueni kulinganana kilichowafanya kuwa pamoja tangu mwanzo, je mabaya yenu kati yenu yamezidi mazuri?
5: Je kwenye mabaya na mazuri ni yapi yanaweza kubadilishwa au kuendelezwa na je inawezekana?
6: Kwa yasiyoweza kubadilishwa je yanatosha kuganya maamuzi mengine zaidi ya yale yaliyowaweka pamoja?
Atampa hope za uongo mwisho atakufa kwa presha. Ajichange asepe. Mwanamke akishaanza hizo pigo jua Kuna mwana anakula mzigo. Asepe akaanze upya Mungu hatamtupa kamweusimsikilize uyu mwanamke akibadilika imetoka io
hii ndio sababu naipenda jamii forums mm kuna jamaa alipata matatizo mke alianza visa aisee yaan mwanamke akichange ni balaa mm si niliingilia ugomv ili niweke mambo sawa alimanusura nimwagiwe mafuta ya moto aisee na familia naijua very close since then nilijifunza kitu mwanamke akitaka kukuacha akwambii yeye anakufanyia visa ww ndio ujiongezeAtampa hope za uongo mwisho atakufa kwa presha. Ajichange asepe. Mwanamke akishaanza hizo pigo jua Kuna mwana anakula mzigo. Asepe akaanze upya Mungu hatamtupa kamwe