Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Kama Mke wako hakutaki kukuona hapo Nyumbani kwako,basi jua kuna Mume mwenzio anakuja mchana hapo, Sasa ukiwepo anaona Kama unamzibia Mambo yake! Wanawake wana Siri nyingi sana ndiyo maana Mwanaume unatakiwa usisomeke kirahisi ratiba zako na Mkeo!!
 
Hapa picha inayo chezwa ni mwanamke kumchokoza jamaa ili jamaa a react ampige alafu mwanamke atakifanya innocent kwa kujiliza liza na ndoa itavunjika huku watu tukiona mwanaume ndio mkorofi.
 
Kuna wakati baadhi ya wanawake wanakuwa wapumbavu sana, yeye alidhani kwa shida na raha ilimaanisha nini, alidhani kwa ugonjwa au afya ilikuwa na maana gani?

Katika maisha ups and downs ni LAZIMA, huwezi kuwa juu kila siku, lazima kuna siku utashuka tu, lazima kuna siku afya yako itaporomoka tu, anataka kila siku uwe na pesa, kila siku afya iwe imara?

Some women are just miserable yani.

Mkuu pambana, tena usimwache, unaweza kuondoka home ukaishi kwingine hadi ukiimarika kiuchumi, then ukirudi imara zaidi unamlipa sawasawa na alivyokutenda.
 
Bro hakuna mwanaume anae weza kukubali kuvunjiwa heshima hata iwaje.

Watu wapo tayari kufa kwa ajiri ya kuipambania heshima yao. Usimdanganye jamaa. Mwanaume mfanyie yote anaweza kukuacha ila pindi ukimvunjia heshima hakuna rangi utaacha ona.
 
Mi mwnyw nashkuru wife wangu lasaba[emoji4]
Ila hawa lasaba wanaladha sana aisee wewe kikubwa umlishe uhudumie watoto ...umpe vihela vya shoping ,mpe na kimtaji cha kumuumiza akili ajione anafanya kazi hata kama hakina maana [emoji16][emoji16][emoji16] ushammaliza na kumteka
 
Ndio maana sijawahi kuwaza kuhusu kuoa,wanawake wapumbavu sana wanapenda kucheza na hisia za wanaume.
Kwani una umri gani sasa mkuu ujue mambo ya kuoa huja automatically ukifikisha umri fulani, hususani 35 age and above
 
Yaan mume akikosa/akifukuzwa kazi automatically na mwanamke nyegeee zinakata hapo hapo on the spot.... hii ni nature mkuu
Nashauri wanaume tusioe hadi tuwe financially stable, kwa hali ya sasa hakuna statement ya kwa "shida na raha". Ni kwa RAHA tu
 
Piga udayworker,kabebe mizigo,kachanganye zege,kachimbe mitaro,kaombe ukondakta nk..
Vaa viatu vyake, ni rahisi kushauri ila kutekeleza ndiyo ngumu. Huyo mkewe analalamika huku jamaa anapiga online business, je akimuona kabeba karai la zege halafu anafokewa na site foreman kwa kuchelewesha kazi due to inexperience hapo ndiyo patakuwa pachungu zaidi
 
Pambania Mjengo wako kwanza,atakuja mwenyewe baada ya Mjengo kuisha! Si anapenda kamselelekoo!? Wwe mwachee atalipata analo litafuta!!!
Sasa mkuu atapambania vipi mjengo huku sasa katetereka kiuchumi!
 
Sasa jombaa umeambiwa kumfulia chupi tu umetaka kurusha ngumi je angekuambia uzame chumvini utaweza kweli? Hiyo chupi ni kifuniko cha asali ndio mahaba hayo vijana leo.

Nakushauri kaza mattyakko kutafuta mishe ya kufanya la sivyo utafungiwa chooni maana hutahitajika sebuleni wala chumbani.
 
Hapa picha inayo chezwa ni mwanamke kumchokoza jamaa ili jamaa a react ampige alafu mwanamke atakifanya innocent kwa kujiliza liza na ndoa itavunjika huku watu tukiona mwanaume ndio mkorofi.
Na hiki ndo ninachopitia mimi ila najitahidi sana kumkwepa ili nisilete majanga uzuri mwanamke mwenyewe anakujaga mara moja moja kama saa hivi kipindi cha likizo ila tuna vita kali na nishamsoma nia yake na ni mtu wa kutafuta huruma kwa watu na mimi kuonekana mbaya

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Nashauri wanaume tusioe hadi tuwe financially stable, kwa hali ya sasa hakuna statement ya kwa "shida na raha". Ni kwa RAHA tu
Usioe ukiwa stable kiuchumi, mwanamke aliyekukuta ukiwa financially stable ni rahisi sana kukukimbia ukipatwa na majanga ya kiuchumi, yule mliyenza nae chini tayari anakujua, anaweza kuwa na mategemeo makubwa kwako lakini anajua kuwa bado upo kwenye kutafuta.
 
Ndugu mtoa mada katu usiisikilize hii feminist...yaani usijaribu hata kwa bahati mbaya, sumu haijaribiwi kwa kuilamba.

Yote ilio andika hii feminist ni wewe kuwa mtumwa wa huyo unaye muita mkeo, yaani ujae vizuri kwenye 18 za huyo mkeo, ndugu yangu hakuna rangi utaacha ona.

Mkuu wanaume wenzio rijali tunakushauri ondoka hapo kwenu kimya kimya.
 
Amwachishe kazi tena????? Ooooh god yaani mfano Leo aje mtu anichishe kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hell no apite kushoto kwakweli.
We ni mdangaji huwezi kuolewa
 
Inferiority complex ndio sababu kuu na yeye kapiga kwenye mshono.

Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…