Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Akiumwa na akashindwa kuingiza pesa itakuwaje!??Nawashangaaga sana wanaume wa hivyo. Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.
Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.
Pesa zangu ni zangu.
Ova.
Au siyo Nashukuru nimekudanga wewe na umedangika mpaka ukaconclude kwamba mimi ni mdangaji.We ni mdangaji huwezi kuolewa
Key word "akiumwa" ni sawa.Akiumwa na akashindwa kuingiza pesa itakuwaje!??
Dah maza ndo alikuwa anakudharauPole Mkuu,ndio ukubwa na darasa pia,asante kwa Ku share ,Mimi pia dharau hizo nishaletewa kisa uchumi Wangu mdogo umeporomoka baada ya kupata matatizo na polisi.,hakua mke(sijaoa),kimada wala hawara,unadhani Nani??Mama Yangu mzazi..alikua ananiona SHABA TU Sina mipango,goi goi,
Ni kuomba upate mke bora hata hao la saba ni pasua kichwa tuAhahahaha
Nilishawaambia kuwa musioe wanawake ambao wanashinda maofisini.
Masaa 9 anakodoleana macho na mwanaume mwingine kila siku huku wewe unakutana naye masaa 2 tu nyumbani tena mkiwa mmechoka.
Wanaliwa kweli kweli.
Sasa kwakuwa ameona umeishiwa anakufanyia vitimbwi ili muachane.
Ungemwoa darasa la saba mama wa nyumbani sasa hivi ungeomba kwa washkaji laki 2 ungempa ya mtaji wa genge mngeshinda gengeni kwa furaha zote huku mnamake pesa na kusikilizia michongo mingine
YesUkishajua una demu la hivyo Na lenyewe hata likiugua unalitelekeza
Na wazee wetu hawakua km mulivyo wanawake wa sasa. Kama vipi kila mtu ashinde mechi zake.Key word "akiumwa" ni sawa.
Sio mtu huumwi umekaa hapo huwezi beba japo zege???
Acheni kuweka matarajio ya kusaidiwa majukumu na wake zenu ndio maana ndoa za sikuhizi makelele ni mengi mnoo.
Wazee wetu hawakuwa hivyo mlivyo wanaume wa sasa.
Eeh bora Iwe hivyo kila mtu atafute wa size yake na ashinde mechi zake.Na wazee wetu hawakua km mulivyo wanawake wa sasa. Kama vipi kila mtu ashinde mechi zake.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kama akimwa ni sawa kusaidia basi uko sawa. Na iko hivyo mwanaume anatakiwa kuhudumia familia.Key word "akiumwa" ni sawa.
Sio mtu huumwi umekaa hapo huwezi beba japo zege???
Acheni kuweka matarajio ya kusaidiwa majukumu na wake zenu ndio maana ndoa za sikuhizi makelele ni mengi mnoo.
Wazee wetu hawakuwa hivyo mlivyo wanaume wa sasa.
Kuna mwanaume hata akiwa hana Kitu bado anapambana Iwe jua Iwe mvua na anajua ye ni mwanaume anatakiwa kufanya nini.Kama akimwa ni sawa kusaidia basi uko sawa. Na iko hivyo mwanaume anatakiwa kuhudumia familia.
Kuna mtu uliwahi kua nae ukawa unamhudumia mkuu?? Maana kwa wanaohudumiwa si rahisi kutokwa na povu namna hii na hawana mawazo wala misimamo kama yako coz wanajua tu mwanaume ndie uhudumia.
Kwan kuna mwanamke asiye mbinafsi??Pole mkuu. Umeoa mke mbinafsi sana. Aliheshimu pesa na sio wewe mumewe hivyo anatengeneza mazingira ya kuachana
Kwan mtoto ananyonya?? Kwa nn usiondoke nae?asante mkuu kwa ushauri, huu ni ukweli mchungu natakiwa kuumeza mimi bila kushauriwa na mtu kesho natoka hapa nyumbani nitakuwa natoa huduma za mtoto tuu ndoa imeshanishinda hii
Kwan uongo?Wewe nia yako nimeijua. Unataka watu wenye ''hate'' na wachaga watukane na kusema wachaga siyo kabila la kuoa.
"...mkiendelea kukaza vichwa shauri zenu"Eeh bora Iwe hivyo kila mtu atafute wa size yake na ashinde mechi zake.
Mtoa mada kaleta mfano hapa na wengi mno wameyapitia hayo mnalo la kujifunza mkiendelea kukaza vichwa shauri zenu.
Kwenye nyumba mwenye sharubu anatakiwa kuwa mume, ukiruhusu mke nae awe na sharubu umeisha.
Ni kweli, hata ukiwa jambazi mwanamke atakubali kuishi nawe na atakufichia siri ili mradi tu uwe unahudumia effectivelyNa vice versa Mwanamke atakukubali na kukuheshimu hata kama kazi yako ni ya kusafisha maliwato ya stendi ali mradi miamala inasoma.
Ila tukubali Dunia ya leo hakuna mapenzi ni unafiki tu...ukiwa nazo Mwanamke ataigiza hata kwa miaka kumi ya ndoa, ila zikipukutika anarudi kwenye uhalisia.
Dawa na wewe kuwa mbinafsiKwan kuna mwanamke asiye mbinafsi??
That's a bit radical. Kwa faida ya mtoto wakae chini wazungumze. Wanawake muda mwingine huwa wanakosa muongozo sahihi. Ni jukumu lako Mwanaume kumuongoza pale anapopotea... Subra kwanza.Bro hakuna mwanaume anae weza kukubali kuvunjiwa heshima hata iwaje.
Watu wapo tayari kufa kwa ajiri ya kuipambania heshima yao. Usimdanganye jamaa. Mwanaume mfanyie yote anaweza kukuacha ila pindi ukimvunjia heshima hakuna rangi utaacha ona.
Wanaume wa hivyo ni wachache na mara nyingi ni wale ambao wanajua wanapendwa na hao wanawake kwa sababu fulani. Sana sana ngono, utanashati au kutojiamini kwa mwanamke.Kuna mwanaume hata akiwa hana Kitu bado anapambana Iwe jua Iwe mvua na anajua ye ni mwanaume anatakiwa kufanya nini.
Halalamiki wala kuomba nimsaidie, kama binadamu lazima nijiongeze angalau.
Kuna mijitu sasa imejiwekea Ratiba kwamba kama ni ada ya watoto mke nusu mume nusu, Bill za umeme na maji mchango unapitishwa au pengine mume anajisahaulisha alipe mke.
Yaani mume yupo kama hayupo.
Aseee mume mwendawazimu wa hivyo hapana.