Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Akiumwa na akashindwa kuingiza pesa itakuwaje!??Nawashangaaga sana wanaume wa hivyo. Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.
Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.
Pesa zangu ni zangu.
Ova.