Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Mkuu kuna jambo nimeligundua kutoka kwako aisee...uyo mwanamke huwa uunampiga!? mwanamke anakwambia kama unataka kuendelea kukaa na mimi inabidi ujifunze kupika na wewe uunamuacha!? Butua huyo mwanamke mpaka akili imkae. sawa
 
Mkuu kuna jambo nimeligundua kutoka kwako aisee...uyo mwanamke huwa uunampiga!? mwanamke anakwambia kama unataka kuendelea kukaa na mimi inabidi ujifunze kupika na wewe uunamuacha!? Butua huyo mwanamke mpaka akili imkae. sawa
Ujue mkuu, ndio maana ndoa za sisi wakurya huwa zinadumu na zina kuheshimiana sana.mwanamke ukienda nae kwa Diplomasia sana ndio yanatokea mambo kama haya ya huyu jamaa..mwanamke akizingua piga makofi mengi sana hadi azime data
 
Ujue mkuu, ndio maana ndoa za sisi wakurya huwa zinadumu na zina kuheshimiana sana.mwanamke ukienda nae kwa Diplomasia sana ndio yanatokea mambo kama haya ya huyu jamaa..mwanamke akizingua piga makofi mengi sana hadi azime data
Kitu ambacho nimeguundua kwa mke wangu ni kwamba ukiendekeza demokrasia kwenye ndoa unaekuja kuteseka ni wewe mwanamme,,,,yaani mke mpende lakini ajue demokrasia hakuna, yaani baba ndio anatoa SAY ya mwisho na sio mama.

Alafu jambo lingine ni kwamba mwanamke alieolewa ni sawa na mtoto mwanamme aliemuoa, akikosea anapewa adhabu kama watoto wanavyoadhibiwa
 
Imagine mm n dr (MD) ..Ni mwanamke...nikakutana na mwanaume kazini...ndo kwanza una miez 2 tu kwny ajira...ajira ya serikalini...mwanaume nlokutana nae Ana diploma ya Laboratory...hata wiki hatujamaliza kweny mahusiano..ananambia nikope million 18 ninunue gari atembelee..afu mimi ndo nikatwe kwny mshahara..aloo nilimpiga chini siku hyo hyo..wanawake tutafute wanaume wanaojiweza ili watutunze.. hatujaumbwa kuprovide..tena cku hz wanaume wanapiga mizinga afadhali ya wanawake...yani mm.kwny mahusiano yangu cjawahi kupewa hela mimi ndo naombwa hela..ya nini mie..nipo single naenjoy..tangu niachane na mahusiano nimeshanunua kiwanja soon naanza ujenzi..before that hela yangu ilikuwa ni kulisha wanaume tu et mpenzi namvumilia atapata kazi..loh
 
Unataka kuolewa nani ambaye utamheshimu akiwa na kazi na pesa zake? Hayupo mwanaume wa hivi duniani.
Cha kukushauri. Tafuta watoto maana hata ukiolewa utarudi tena kwenye usingle tena na utaanza kulea watoto peke yako.

Huyo mwanamke, ataanza kulea mtoto peke yake tena itabidi aweke na mfanyakazi wa ndani.
 
 
So wote tunafanya Kazi tunapata kipato but fedha zangu tu ndio zihudumie familia??za kwako??tutaendelea vipi??kwa mtindo huo bora nisioe but kwangu itakua pesa zetu zote bajeti tunapanga wote zitumike vipi
 
Ndoa za siku hizi zimekuwa ngumu sana kwasababu ya ubinafsi. Ni wachache sana ambao wanaweza kusaidia familia endapo baba ameyumba kiuchumi.

Mimi katika maisha yangu nafanya haya tu
1. Kupata watoto. Nikifikisha watoto 3 au 4 na mwanamke haeleweki ndoa inavunjika

2. Kuwekeza kwenye mali zangu. Hapa mwanamke hatakiwi kujua nina shilingi kwenye account na baadhi ya mali zangu asijue watajua watoto. Na mali zote naandika jina langu.

3. Sitachangia kitu chochote cha kununua na mwanamke. Yeye km ananunua anunue ila mimi nitanunua vyangu.
 
Mkuu, kaka angu, ndugu yangu furaha yako ije kwanza furaha yako iwe ya kwanza. Pili usifanye kazi yyte hapo ndani zaid ya kuoga na kufua nguo zako.

Tatu usijibishane nae kabisa yani akikwambia ushenzi ww kaa kimya shika simu endelea kuperuzi.

Alfu kingine anza kupambana kutafuta chumba nunua godoro kitanda lipa kodi siku ikifika mwambie tu naondoka basi.

MUHIMU ZAID.
Hakikisha kila anapokua anatukana uwe unamrecord.
 
So wote tunafanya Kazi tunapata kipato but fedha zangu tu ndio zihudumie familia??za kwako??tutaendelea vipi??kwa mtindo huo bora nisioe but kwangu itakua pesa zetu zote bajeti tunapanga wote zitumike vipi
Ukioa mwanamke mwenye kazi halafu ukaona kazi yake haina manufaa yoyote kwenye familia. Siyo km utegemee pesa ya mwanamke hapana ila kuna vitu vidogo vidogo anashindwa huyo inabidi achague
1. Ndoa
2. Kazi
 
Usioe tu, hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
 
Usioe tu, hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu
Wanaume wenye akili hawaoi wanatafuta watoto tu. Siku hizi wanawake wa kuoa hawapo wamebaki maslay queen.

Unatafuta mwanamke au wanawake unajaza mimba kisha unachukua watoto wako unaishi nao na unaweka mfanyakazi wa ndani maisha yanasonga.

Hapo inabaki siku ukijisikia, utafuta pisi kali unaenda kupiga unaacha naye. Siku ukijisikia hamu unatafuta tena.

Wanaume wenye akili wanafanya hivi
1. Hawaoi
2. Wanatafuta watoto
3. Kupiga pesa. Maana hapa muda wako mwingi utakuwa unafikiria kazi na watoto tu
 
Siku ukikua au utakapokuwa na akili ndio utaelewa utopolo ulioandika
 
Ni jambo zuri ina maana hadi sasa hujaolewa 😀😀😀 na wanaume wote wanaojua majukumu yao wanaishia kufokoa mbususu na kusepa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…