Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Kunywa bwiiiaaa kwa mangiiii ntalipa.Sasa wewe ukimuangalia diamond unaona kuna mume wa mtu au baba wa familia pale au furushi tu!!
Sio kila mwanaume ni wa kuoa jamani. Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu. Wengine mkifanya maamuzi mazuri ya kutokuoa, basi jitahidini msizae pia. Mtakuwa mmeiepushia dunia majanga yasiyo ya lazima.
Ndoa ni kwaajili ya wanaume sio wavulana.