othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Kwa kweli.Ukiacha na uzinzi na uasherati, hamna cha kujifunza hapo.
Hii code natembea nayo mkuu kuanzia 2025 september.Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana.ku handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sn na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu, akichelewa kurudi kazini kama mm nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na.kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hv hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo, hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hv yameongezeka kupita kiasi, anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mf. weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepu/ nyumba ndogo zinasaidia sn kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Wakishakuchapia huyo mchepuko basi utarudi mle mlee kwenye kuwa na wasiwasi!Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana.ku handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sn na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu, akichelewa kurudi kazini kama mm nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na.kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hv hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo, hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hv yameongezeka kupita kiasi, anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mf. weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepu/ nyumba ndogo zinasaidia sn kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Nimemwambia wanawake wote hawana akiliUkiacha na uzinzi na uasherati, hamna cha kujifunza hapo.
Huo ndio ukweli! Na ukweli mwingine ndoa ya mke mmoja inamatatizo mengi sana kuliko wakiwa wake zaidi ya mmojaMwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana.ku handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sn na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu, akichelewa kurudi kazini kama mm nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na.kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hv hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo, hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hv yameongezeka kupita kiasi, anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mf. weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepu/ nyumba ndogo zinasaidia sn kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Ni ishu za muda tu huko mbeleni utalia sanaMwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.