Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

Siku akufume atake kugawana mali urudi humu kuimba kataa ndoa.

Tutakuwa hapa hapa.
sasa hv amejifunza amekuwa mke mwema na anatekeleza majukumu yake vizuri, nyumba ndogo wanaojutambua wana nafasi yao ya kipekee kwa baba muumba.
 
Mkuu, wewe ndo unatumika. Maana mchepuko na yeye ana Bwana na huyo bwana ana mtu wake as well etc. Tulia kwenye ndoa yako.
Amekwambia? Acha hizo mkuu, lkn hata kama usemacho ni kweli, kikubwa amesaidia kuleta utulivu kwenye ndoa yangu
 
Takwimu zinasema wana ndoa ndo wanaongoza kwa kupata NGOMA A.K.A GRID YA TAIFA.

wewe tufanye unajikinga na mchepuko wako pia ana jikinga,vipi kuhusu mkeo na wadau anaowapa huko ofisini?.
Mkuu kuna watu hawana michepuko na wameungwa kwenye grid ta Taifa, so either way ukijichanganya tu kinakulamba, yote kwa yote nyumba ndogo ni tiba kwa ndoa.
 
Back
Top Bottom