Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,245
- 42,008
Kama umenielewa mkuu ni kwamba kwa ss presure haipo tena, zile hisia kwamba labda kuna wahuni wanajupigia sio shida zangu tena tangu nikipate katoto ka 2000. So hayo mengine atajua yeye aliwe au asiliwe shauri yake.
Huo mkeka wako karibu UTACHANIKA!Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Teh teh teh š š š kazi kweli kweliSasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Huwa wanaungana ukiwa na mali. Ili usiongeze mwingine wakakosa mali.Kivip yani?
Mh.Huwa wanaungana ukiwa na mali. Ili usiongeze mwingine wakakosa mali.
Hahaha jitu upo? Karibia tunakutana kilingeni, hapa kanj hachomokiHuo mkeka wako karibu UTACHANIKA!
Siwezi kumuacha mke wa ndoa na amenizalia watoto 2, pia ukisoma vizuri hapo juu ameanza kunyooka na amerudisha mapenzi kwa kasi ya ajabu bahati mbaya kwake ni kitoto cha.2000 kipo fire balaa.Hapo utakuwa na furaha milele, sasa swali: Wanawake hawatumiagi Condom wakati wanaliwa, kwanini usi Man up ukamuacha kabisa?
Kivipi nimekuwa mwendawazimu we mama?Kashahisi kuwa unachepuka sababu ya kutokujiamini kwako mchepuko anakuheshimishaje kuliko mke huoni kama umekua mwendawazimu
'Aziniye na mwanamke hana akili kabisa'Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana.
Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine.
Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote.
Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu.
Msije kusema sijawastua.
Kwa hiyo anayezini na paka ndiye ana akili?'Aziniye na mwanamke hana akili kabisa'
Anatahira ya akiliKwa hiyo anayezini na paka ndiye ana akili?
Hiyo siyo shida yangu tena.Unafikiri na yeye atakosa wa kumfariji? Tunasema ngoma draw.