Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

Spiritually na physically mwanaume hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja, period! Angalia viumbe vingine vyote vya Mnyazi Mungu. na ndo maana mwanamke anafikia menopause wakati mwanaume hajawahi kufikia ukomo wa kumwaga mbegu wala hormonal imbalances. Yanawakuta wamama tu tena wkt bd vijana tu yani 40's.

Mwanaume wa 40's na kuendelea ndo kama kaanza kulamba yani, mpyaaaaa!
 
Spiritually na physically mwanaume hajaubwa kuwa na mwanamke mmoja, period! Angalia viumbe vingine vyote vya Mnyazi Mungu. na ndo maana mwanamke anafikia menopause wakati mwanaume hajawahi kufikia ukomo wa kumwaga mbegu wala hormonal imbalances. Yanawakuta wamama tu tena wkt bd vijana tu yani 40's.

Mwanaume wa 40's na kuendelea ndo kama kaanza kulamba yani, mpyaaaaa!
Truth
 
Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba. Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni mwangu. Akichelewa kurudi kazini kama mimi nimewahi kurudi kutoka kwenye mishe zangu basi nilihisi wajuba wa kazini wanakula tunda la upendo la my wife wangu. Hakika niliteseka sana. Sasa niliamua kujilipua na kupata katoto ka 2000 ambacho kanajitambua na kutunza siri basi katoto kameshusha pressure yote niliyokuwa nayo sasa hivi hata shemeji na wifi yenu akiamua kulala hukohuko kazini sina tena kihoro na wivu kama mwanzo. Hata akiniiaga wanatoka wanaenda semina watatumia mwezi mzima basi naona kama aongeze na mwezi mwingine. Kimsingi mchepuko umenitoa jalalani na kuniheshimisha, badala yake naona mapenzi kwa shemeji na wifi yenu sasa hivi yameongezeka kupita kiasi. Anawahi kurudi kazini, semina zikitokea hataki kwenda na kila nikitaka kutoka mfano weekend anataka tutoke wote. Jamani michepuko/nyumba ndogo zinasaidia sana kuboresha ndoa. Tafuteni nyumba ndogo zinazojielewa ili ndoa zenu zidumu. Msije kusema sijawastua.



Kama huna shida na yeye akiwa na Nyumba ndogo then utakuwa na Amani siku zote, ila kama akiwa na Nyumba dogo wewe itakupa shida, then wewe ni fala
 
Back
Top Bottom