othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
- Thread starter
- #61
Ochu hataki dini yake
Kama umenielewa mkuu ni kwamba kwa ss presure haipo tena, zile hisia kwamba labda kuna wahuni wanajupigia sio shida zangu tena tangu nikipate katoto ka 2000. So hayo mengine atajua yeye aliwe au asiliwe shauri yake.Kwa kifupi, atajua, na yeye atatoka nje, ataliwa, kama yeye akiwa na Nyumba ndogo haikupo shida, then ndoa yako itakuwa na Amani milele, ila kama wewe hutaki na itakutesa akitoka nje ya ndoa, then furaha yako ni ya Mda mfupi sana, utakuja kujuta.