"Tangu niwe na wewe nimepata nini zaidi ya kukonda "

Marojo Boghul

Member
Joined
Sep 19, 2026
Posts
10
Reaction score
36
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo .wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Mwenzio kaenda kujisalimisha police Dodoma
 
Screenshot_20261012-161229~2.jpg
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo .wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Pisto paaa, shoka kwaaaa
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
nikusaidie petrol na kiberiti apo kwenye kodi
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Tena nakwambia kwani nilikutuma unilipie? Akikutana na mashoga zake anasema kuna Yule Fala Mwanaume km bwege fulani hivi linalalamika eti limenilia Kodi, hii ndio sababu mtu anachukua shoka anapiga kichwani Tu😂😂
 
Back
Top Bottom