"Tangu niwe na wewe nimepata nini zaidi ya kukonda "

Kama alivyokupenda, akienda kumpenda mwingine usije hapa kutulilia

Ni KWELI aliyekupenda anaweza kuja kukuacha in the future there is a possibility/chance. At the END*

ILA asiyekupenda tayari ameshakuacha ,tayari alishakuacha hakuwahi kukupenda from the begining,from the start.

IF YOU HAY TO BEG SOME ONE TO BE/STAY IN YOUR LIFE SHE DOESN'T BELONG THERE FROM THE BEGINNING/FROM THE START

if you have to choose between the two evils,choose the lesser evil.

Pamoja na hayo yote ,,MEME STILL I WILL GO WITH ONLY OPTION
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Kakonda kweli? Au anasingizia?
 
Jifungie ndani ukiwa mwenyewe lia machozi yote yakauke omba rehema kwa Mungu yaani tubu hata kama huoni kutenda kosa ,

tamka ushindi juu yako mwambie Mungu akujaze hekima alafu mwandikie sms moja tu kuwa ahsante kwa yote nimefanya kwa uwezo wangu ila kama hujaona thamani basi nashukuru alafu futa namba za endelea na maisha fanya kazi kwa bidii kaa kimya , upo wakati wa yeye kulia akikuhitaji na mda huo utakuwa na mwanamke bora maishani hatakuwa na nafasi tena hapo ndio atajua vizuri namna ya kukonda.
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Mwanamke hakumbuki wema wako wa jana anakumbuka cha sasa 🤪

Umetoka kumlipia kodi jana leo kasidiwa tu na kijamaa leo chumba kizuri umepamba vzr 🤣 akaishi nayo hayo leo wa jana hufai
 
Ni KWELI aliyekupenda anaweza kuja kukuacha in the future there is a possibility/chance. At the END*

ILA asiyekupenda tayari ameshakuacha ,tayari alishakuacha hakuwahi kukupenda from the begining,from the start.

IF YOU HAY TO BEG SOME ONE TO BE/STAY IN YOUR LIFE SHE DOESN'T BELONG THERE FROM THE BEGINNING/FROM THE START

if you have to choose between the two evils,choose the lesser evil.

Pamoja na hayo yote ,,MEME STILL I WILL GO WITH ONLY OPTION
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
We oa tu, mwanamke anaweza kukuigizia kukupenda ukadhani umeokota dodo kumbe mwenzako anacheza script.
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Kosa kubwa ni kumlipia kodi ya nyumba , ana uchungu huyo ulitakiwa kumuwezesha kisha ukamtizamia kuona mwenendo wake , ukiona red flag fvck off mapema
 
Back
Top Bottom