"Tangu niwe na wewe nimepata nini zaidi ya kukonda "

Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Piga chini huyo
Hajatambua hadi pesa ya kodi unayomlipia.

Anazani maisha ni mepesi hivyo.
Achana naye atakukondesha wewe sasa usipofanya maamuzi ya kumuacha.
 
Suluhu ya matatizo haya ni kuwa mchezaji huru tu...kama huwezi kuwa mwanaume kwa kuvumilia matatizo ya hawa viumbe basi ni kheri uwe unapita na kwenda zako.

Watu hawajakaa wenye ndoa miaka 40+ eti kwa sababu zilikuwa rahisi.au wanawake waliokamilika.
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Ulimkuta BIKRA?
 
Huo upuuzi ni vizuri imekuwa elimu kwako though you've learned through the hard way, anza kumgharamia mama yako uone atakavyokuwa anakuombea kila siku.
 
Unamlipia kodi? Kwanini amepanga chumba ambacho hawezi kujilipia kodi? Mjini mafala hamuishi?
 
Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo

Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums

Ule vyakula vya protein umpatie sperms zilizokaa protein anenepe.
 
Nilishaachaga kuwa na roho nzuri kwa hao viumbe. Nikiona unakuja kasi na mahaba yako nakupunguza speed ujione wa kawaida sana halaf napotea, sitaki ugomvi wala shari na kugandana pia sitaki
 
Back
Top Bottom