Marojo Boghul
Member
- Sep 19, 2026
- 10
- 36
Mwenzio kaenda kujisalimisha police DodomaDaah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo .wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Mwenzio kaenda kujisalkmisha police Dodoma
Pisto paaa, shoka kwaaaaDaah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo .wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
tayal vibopa washatia mzigo mref
nikusaidie petrol na kiberiti apo kwenye kodiDaah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo
Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Tena nakwambia kwani nilikutuma unilipie? Akikutana na mashoga zake anasema kuna Yule Fala Mwanaume km bwege fulani hivi linalalamika eti limenilia Kodi, hii ndio sababu mtu anachukua shoka anapiga kichwani Tu😂😂Daah aiseeh iyo lini iyo Jana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo
Wakati nimempangia na mwezi uliopita nimetoka kumlipia Kodi ya miezi sita yote nayoyafanya na niliyomfanyia sio kitu kwake. imeniuma sana wakuu hapa enyewe nipo dailema sijui nifanyaje naombeni ushauri Wana jmforums
Akubali yaishe tuushazidiwa kete hapo bwashee
Na gunia la mkaaPisto paaa, shoka kwaaaa
Aulizie kituo cha police cha karibu nae dalili zote kashaonyeshwaLazima mana shoka halichezi mbali