"Tangu niwe na wewe nimepata nini zaidi ya kukonda "

ana iyo mpenzi wangu wa muda mrefu takribani miaka mitatu kanitamkia kuwa wakati wote tuliokuwa pamoja hajapata chochote zaidi ya kukonda na maneno kibao ya jeuri na shombo
Mkuu usimlaumu Nyoka kung'ata, hio ndio kazi yake, Nyoka hawezi kuimba mapambio.

Vijana mnajifanya wazee wa kujali sana. wanawake wengi wanajali hisia zao, kwamwe usijipe umiliki kwa mwanamke, hio ni zamu yako tu, kesho itakuwa zamu ya mwingine. Unless mwanamke mwenyewe ndio aamue kujimilikisha kwako muda mrefu (sio muda wote).

Vijana mnapoteza gharama nyingi sana kwa wanawake ambao washikaji kibao wanajipigia Bureeeee, mkiamini watathamini juhudi zenu.

Be a Man, Hesabu hasara na ukubali kujifunza kupitia hilo kisha usirudie tena kujitoa kipuuzi eti kisa Mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…